Vijana hawanyanyuki kiuchumi sababu wanawake ni ombaomba

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Ndugu zangu.

Sipo hapa kukashifu wanawake ila ukweli usemwe vijana wapone, vijana wengi wanafanya kazi ila ni masikini sana kwasababu wanadate na ombaomba.

Wanawake wamekua ombaomba sana kutwa kucha kuchezea simu , kupiga umbea saloon huku akimtumia baby wake picha kabinua makalio na kuachia kiuno wazi ili akitoka kutafuta hela ampe hicho kidogo alichopata.

Vijaa wanadate na ombaomba wanapigwa mizinga ya kila namna pasi na kuonewa huruma, vijana wanaamka saa kumi alfajiri kutafuta riziki siku inaisha wamepata elfu 5 na bado mwanamke huyo anaejiita mpenzi wake anae ishi kwao ana mlilia njaa, mara hela za kusuka, gesi imeisha, mara akanunue air force pamoja na ndugu zake vans avae apendeze huku mwanaume wake akizidi kusagika na kuhangamia kiuchumi

Vijana wanajibana sana ili kuwapa hela omba omba ambao hawamsaidii chochote zaidi ya kumpa utelezi unao mkamua nguvu zake zote na kukuacha akiwa amelegea sana, mchovu wa mwili na hela hana.

Vijana wamekua na maisha magumu sana , hawawekezi , hawana akiba kwasababu hawa madumadu, parara na nzige wamewachuna na kuwakamua kila mahali kwa kisingizio cha mwanamke matunzo. Mwaka mzima vijana wanakimbizana kutafuta hela ila huoni cha maana wanachofanya, utakuta kijana anakoma kusaka hela alafu hata kiwanja cha 10*15 hana, kitanda hakuna, hata radio hana ila anafanya kazi na hela anamalizia zote kwa mpenzi wake ambaye hana msaada wowote zaidi ya kumpa kikojoleo chake.

Vijana uchumi wao una yumba, wanaishi kwa tabu sana sababu maisha yao yamezungukwa na wanawake omba omba wasio na msaada wowote kwenye maisha yao, vijana wengine wanajitosa kusomesha wapenzi wao, kuwafungulia biashara na kuwapendezesha huku wakijisahau wao kujiendeleza kiuchumi na mwishowe wanaachika na kubaki masikini

Vijana wanateketea sana kiuchumi, wana hali mbaya mno, wanaishi kwa tabu, wanaugua hela hawana akiba hata kidogo kwa sababu wanadate na wanawake omba omba


Ndugu zangu vijana wanahangamia sana.
 
f397a2d4003558c6068fd9ed96c29001.jpg
 
Fanyeni kazi nyie acheni ujinga wa kusingizia wanawake ni chanzo cha maisha yenu magumu. Kama ni hivyo ungekuta wanaume wote ni maskini, ila mbona wanaume wengine wana maisha mazuri tu wanahonga hadi magari?

Halafu wakati mnafanya kazi mjitahidi pia kutumia akili. Hauna hela badala ujitume kwenye kazi unahangaika na mapaja na makalio ya wadada halafu mnakuja kutupigia nduru huku utadhani hizo hela mliporwa😏😏😏
 
Hakuna ulazima wa kumpa mwanamke pesa kisa ngono,

sio kila kijana kuyumba kwa uchumi kisa ni mwanamke la hasha yapo tele mambo ya kumwangusha kijana kiuchumi mf. Ulevi, kucheza kamari, mihadarati, n...k...
 
Hakuna uhusiano wowote kwa hoja yako jambo la msingi tu ni kwamba vijana wengi wakitanzania hawana elimu ya ujasiliamali kijana ata akiachana na Wanawake,kamari na pombe kama hana elimu hawezi pata maendeleo yoyote
 
Omba omba wakatwe mikono au Serikari itoe ajira ndo chanzo cha omba omba kujaribu kuji ajiri kwa kigezo cha mapenzi.

Ila kama upo kwenye field ya mapenzi na sio wale cry babies wanao teswa na mapenzi nasema legends .Ni kwel kumekuwa na wave ime ibuka kwa speed sijui ni ugonjwa. Dada zetu wamekua hatari sana siku hizi hawana aibu za kike kabsa.

Na hatukatai ku provide kwa chochote kwa mpenzi wako lakini saiv im3 kua tofauti zaidi..
 
Nnavyojua jukumu la Msemaji wa Vijana ni la Stivu au Tivu Ake😀
Isije ikawa na vijana wa ovyo nao wana Semaji lao humu😉
 
Back
Top Bottom