Bitter truth walahi!kweli ndio mana hadhi yao inashuka halaf ndio hao wanaishia kuwa ma single mother
Watanadilika tu maana Universe nayo inabadilika...wanawake tulijisahau sana tukafikira sisi ni viumbe vinyonge, la hasha! Amka mwanamke pambana kula jasho lako! Hukuzaliwa kuwa omba omba!
Shida ni unampendezesha ili avutie wengine hahaWewe kama huna helaa kaa kimyaa waachie wenye nazooo![]()
sasa usipo mpendezesha wewe unataka nani ampendezesheee!??? Na kwanini usubiri mpk akuombe km unamjali si uwe unampa.. Alaaaaaa po ....mb
...fooo
Ikitokea mwanamke amemutongoza mwanaume itabidi huyo mwanamke baada ya kugegedwa atoe pesa ee?Hela akaombe wazazi, mbona we kidude chake unaomba si ukaombe huko kwenu na wewe
Huu uhusika wa kutongoza alivishwa mwanaume toka enzi though nanyi siku izi mumeamua kuingilia katika kugegedana just enjoying and refleshing lakini pale mnapotaka kila baada kugegedana ulipwe ndo hapo panapoanzia madada poa.Hela akaombe wazazi, mbona we kidude chake unaomba si ukaombe huko kwenu na wewe

Huwezi badilisha nature!!wakuu kumekuwa na tabia ya hawa madem zetu kuomba omba hela oo mara hela ya kusuka ooo mara hela ya nguo hivi nyie dada zetu mnao omba vp hamna wazazi wenu ama ndio mana tuna hit and run sababu ya kuombwa ombwa hela kila kukicha mapenzi sio pesa dada zangu mm naomba mbadilike maana mmezidi samahan kama nimewakosea
Eti hit and run. Now days wanaume wa ukweli wana hit,hit,hit and hiiiit atarun yeye. Kama huna ela piga kimya. Wenye nazo watatoa buana.
Kwanza sh ngapi?
Sawa lzm atavutia km alivyokuvutia wewe lkn km atakuwa anajitambua, wakimchombeza atakataaa km kweli nimwanamke mwenye msimamo na mapenzi ya dhati.Shida ni unampendezesha ili avutie wengine haha
Hela akaombe wazazi, mbona we kidude chake unaomba si ukaombe huko kwenu na wewe

Weeeeh. Bukuuu Ndio sh ngapi??Buku tu.. Hahah
1000Weeeeh. Bukuuu Ndio sh ngapi??
Bana eeh papuchi sio maji wala chakula useme ukiikosa utadanja, achana na papuchi fanya mambo mengineHuu uhusika wa kutongoza alivishwa mwanaume toka enzi though nanyi siku izi mumeamua kuingilia katika kugegedana just enjoying and refleshing lakini pale mnapotaka kila baada kugegedana ulipwe ndo hapo panapoanzia madada poa.
Hapo chachaHela akaombe wazazi, mbona we kidude chake unaomba si ukaombe huko kwenu na wewe



