Kwanini wanawake wakitupa tamu wanaona wametuhurumia na siyo haki yetu?

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,850
Ndugu wana JF, poleni na majukumu ndugu zangu.

Moja kwa moja katika mada kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.

Kumekuwa na sintofahamu baina ya hawa dada zetu hasa pale tunapo omba gemu na wao kuamua kutoa, ndugu wana JF dada zetu hawa wamekua na mtazamo kwamba kutupea ni sababu ya wao kutuonea huruma na sijui kwanini wanakua hivi.

Leo naomba tufahamishane kinaga ubaga. Je, kutupea ni kutuonea huruma au ni haki yetu kama wanaume kupewa mzigo, na kama ni haki yetu kwanini basi wanaona wanatuonea huruma kutupea kipochi manyoya tukinyandue?

Karibuni!
 
Siku hizi pia wana msemo Eti utasikia “ nimemzalia m(wa)toto”

Sasa unajiuliza kwa hiyo mwanamke anayesema hivyo inamaana amejitoa yeye kuwa sehemu ya mzazi wa huyo mtoto au hao watoto?

Je amefanya surrogate procedure?

Only in surrogate procedure ndipo unaweza kusema hivyo na hata hivyo miiko inakataza na ndio maana wakati wa kujifungua mama anafichwa uso asimuone mtoto kabisa.!
 
Wengine utasikia “nimeingia leba mimi” mara Nimenyonyesha maziwa yangu !

Sasa ewe mwanamke acha kutaka kutumia hiyo kama fimbo Kwani ni ujinga!

Huo ni mgawanyo tu wa kijinsia .

Mwenyezi Mungu ameweka hivyo na wala hakuna pa ajabu sana Kwani hata mbuzi wanazaa!
 
Utasikia Yani wwe unajijali wwe tu mwenzio nimechoka Wacha nilale, akikupa ssa haoneshi ushirikiano, ukimaliza ssa utasikia mtu mwenyewe kimoja tu Chali, Yani wanandoa Wengi wanabakana na wake zao wanawapa WAUME zao penzi la kupimiwa.
 
Back
Top Bottom