SHAMAC
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 1,340
- 3,562
Eti hit and run. Now days wanaume wa ukweli wana hit,hit,hit and hiiiit atarun yeye. Kama huna ela piga kimya. Wenye nazo watatoa buana.
Kwanza sh ngapi?
Kwa hiyo ni Kuhiiiiiiiiiiiiiiiiiiiit tu hadi ihitikeeeeeeee au sio...!! Ama kweli wasio na pesa wakomae na Tumbili...!!