Iron Lady
JF-Expert Member
- Mar 4, 2008
- 4,071
- 1,363
wana jamvi,
nimekuwa nikisikia kwa wanawake wenzangu kuwa mara wakorofishanapo na waume zao huwanyima unyumba kwa wiki nzima ama siku kadhaa kama kuwaadhibu, na kujitapa kuwa bila kufanya hivyo basi hawabadiliki na hawahisi kuwa wanaadhabu nyingine itakayowaumiza waume zao hao kama hiyo,
ugomvi umekwisha na mmeyamaliza ila kuna mgomo baridi wa kutoa unyumba kwa mume,
swali je hii ni adhabu sahihi? na je ni haki kumnyima mwenzio unyumba kwa siku kadhaa kama sehemu ya adhabu hata kwa makosa na makoroshano ya kawaida sana?