wanawake kuwanyima unyumba waume zao kama adhabu ni sahihi?

muulize yule pashkuna mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa magamba aliwashauri wanawake wawanyime unyumba waume zao walioko katika vyama vya upinzani
 
unajua kusudi la adhabu ni kumfanya yule aelewe kuwa alichofanya sio kizuri na kuwa kisirudiwe tena.....pia adhabu inatakiwa ilingane na kosa plus 10%. hivyo basi kunyima unyumba ni moja wapo ya adhabu na kama kweli kumyima inamfanya asirudie hilo kosa basi ni adhabu sahihi

Sasa nachoona mimi hakiko sahihi ni pale wanawake hao wanaposema tulisha solve kila kitu ila wao bado wanakakinyongo na kumfanyia kusudi kwa kutompa unyumba ila wanongea wanacheka inapofika swala la mume kutaka unyumba analeta visingizio tele. mimi naona huku si kuadhibu ila ni visa na matokeo yake huweza kuwa mabaya zaidi. na kutokana na maelezo ya wanawake hawa waume hao wengine hujua kuwa kuna mgomo baridi huo na kuanza kuwabembeleza kutoa unyumba. sasa akikuta mwaume kauzu na kutoka kuutafuta huo unyumba nje wanawake hawa watamlaumu nani?
 
muulize yule pashkuna mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa magamba aliwashauri wanawake wawanyime unyumba waume zao walioko katika vyama vya upinzani

wanawake wengine ni wapotoshaji wakubwa ndoa zao zinasimama kazi yao kushauri wenzao mambo ya ajabu,wao wanafanya hivyo?
haya ndio mambo ya kitchen party za siku hizi baada ya wanawake kuwaeleza wenzao mambo ya ukweli na ya msingi wanaanza kuwaeleza ma bibi harusi watarajiwa maisha yao wao wanayoyaishi katika nyumba zao yakiwa yamejaa uozo mtupu. nasema hivi bora mabibi harusi watarajiwa wasisikilize kila wanachoambiwa na watu watumie busara zao wenyewe na kusolve mambo yao accordingly based on their particular situation.
 
Labda wanaume wa enzi zile wa siku izi anaenda saka game ya kirafiki nje!
 
imeandikwa wanawake wenye busara watazijenga nyumba zao na wasio na busara huziharibu kwa mikono yao wenyewe.

eti kisa mwenzio umemuona hapo ndio kafika unamtesa kwa kumnyima apendacho wewe akijapata kitamu zaidi tutaona kama utaendelea kuringia hiyo nanii yako tuwe na busara na tuache kusikia maneno ya watu na kuyajaribu jaribu itatukosti!
 
Wanaume wengi sex ya nyumbani huiona kama bughudha, wanaifanya kutekeleza majukumu yao kama MME, lakini sex iliyo tamu ni ya nje. Hivyo ukimnyima unyumba ni kama unamsaidia, manake anakamua nje halafu akija nyumbani hadaiwi
 
mimi naona ni sahihi bcz ile ni starehe inahitaji wote muwe katika hali ya furaha ili muweze kulifurahia tendo lakini kama mwenzio amekuudhi hakuna sababu kufanya hivyo wakati mwenzako hana raha.
 
Ni sahihi kwa Mke apendae mme akatafute Tunda Jingine.

Unadhani unamkomoa! Siku akipata kwingine unashangaa adhabu inakurudia wewe mwenyewe.

Unamnyima Wiki yeye anakunyima Double Wiki.

Kuongea na kusamehana ndo Jambo la Msingi..
 
Wanaume wengi sex ya nyumbani huiona kama bughudha, wanaifanya kutekeleza majukumu yao kama MME, lakini sex iliyo tamu ni ya nje. Hivyo ukimnyima unyumba ni kama unamsaidia, manake anakamua nje halafu akija nyumbani hadaiwi

Hapa ndo Wanawake huwa wanakosea. Mnasimuliana Mambo ya Ndani, halafu Rafiki yake anaenda kumfurahisha MME
 
Hiyo adhabu siyo sahihi kabisa. Waswahili wanasema "akili za kupewa changanya na zako". Hii adhabu inatumiwa na Wazungu, hata Wakenya n.k. Madhara yake ni makubwa sana; kama ndoa kuvunjika, kukosa amani... Ukiona mwanamke ameshindwa kutumia ulimi wake ili kuleta amani, ujue huyo NI MWANAMKE MPUMBAVU kwani; nguvu ya mwanamke ipo katika maneno i.e mwanamke anao ushawishi mkubwa sana
 
Wanaume wengi sex ya nyumbani huiona kama bughudha, wanaifanya kutekeleza majukumu yao kama MME, lakini sex iliyo tamu ni ya nje. Hivyo ukimnyima unyumba ni kama unamsaidia, manake anakamua nje halafu akija nyumbani hadaiwi

kwa nini wanaume huona sex ya nyumbani kuwa bugha?
mwanaume huyo anayeona hivyo basi ana matatizo yake kwani ndoa ni kuboreshana na kufundishana na kurekebishana mwanaume mwenye busara akitoka nje kwa sababu mkewe hamfurahishi basi naye ana mapungufu fulani kwani ni jukumu lake kumfundisha amridhishe sasa akitoka nje ina maana gani ya kuapa kuwa pamoja? kwa shida na raha? ndoa si adhabu ikitaka isiwe na ndoa yaweza kukuboa ukitaka iwe.
kama hajui mfundishe mwambie
kama si mzuri mpendezeshe,
kama hajui kupika mpeleke shule ya mapishi maana huyo ndio wako wa maisha kwa kukimbia kwa nyumba ndogo hujasolve ila unaongeza tatizo jingine. ulimuolea nini hadi leo awe hajui kukuridhisha?

ila ikiwa mke atamnyima mumewe eti tu kwa sababu anajisikia kumnyima kwa hakika mlango wa nje u karibu kwa mwanaume huyo.
 
Kunyimana unyumba kwa mtazamo wangu wala sio sahihi kwani badala ya kujenga mtakuwa mnabomoa na msipoangalia kuna mtu ataingia hapo kutatua tatizo hasa kwa mnyimwaji.Ushauri wangu kwa wakaka tena shida hiyo ikikukuta sikiliza kisa hiki.Kuna jamaa yangu alikuwa na mkewe na mkewe siku akajidai kumnyima jamaa kisa hajapewa pesa ya mchango wa kicheni pati,alichokifanya ndugu yangu ilikuwa kushusha miguu chini akawa amekaa huku kampa mgongo bibie aliyekuwa anajifanya anakoroma, kisha jamaa akaanza kukata mauno kama mtu anayejichua.mke kuona hivyo akamsukumia kofi la mgongo bwana wake kisha akamvutia kifuani,chukua basi hutaniwi hata kidogo?Toka siku hiyo adhabu hiyo haijawahi kutolewa.
 
Back
Top Bottom