Wanawake kuitana majina ya kimahaba

Wanawake kuitana majina ya kimahaba

kwasababu akili zao zinawaza mapenzi all the time
 
Mbona kawaida. Mbona watoto wetu tunawaita baby, darling; sweetheart, my love, etc. kwani ina tabu?
 
Mambo ya tamthilia hayo kuiga. "oh camila my love"
 
NIMEWAONA BRO AF NAWACHORA HAWA WAJAALUTWA WALAANIFU ET MWANAMKE UMUITE MWANAMKE MWENZAKO MPENZ SI UKOSEFU WAMAADILI HUU...af wenyewe wanaona sifa 'mxxxxiuu'
Ulivomalizia wanaona sifa ......naona polepole washakuambukiza,siku si nyingi utaanza kutumia majina kama hayo kwa wanaume wenzio
 
Wenyewe waitane tu ilimradi chakula yangu papuchi wasiitie dosali!!
 
Back
Top Bottom