Wanawake kuitana majina ya kimahaba

Wanawake kuitana majina ya kimahaba

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
Wazee hii imekaaje,unakuta dem wako anamuita mschana mwenzake hny,mpnz,swty,laazizi..hii imekaaje me nawasiwasi sana juu ya huyu mpnz wangu anavoitana na marafiki zake wa kike majina hayo...

nahofia anaeza kuanza haya mambo ya wajaalutwa wa paramia vikuta (Lesbians)

imekaaje kiupande wako je ni sawa kuitana majina haya....

Kama huna cha kuchangia soma na usepe
 
Hii thread inajirudia tena ndani ya week moja nashaauri mods wafute tu ili server ipumue
 
Ni majina tu, kwani unapoenda kwa bibi yako kule kijijini kwenu bibi akianza kusema mume wangu huyo amekuja kunisalimia huwa anamaanisha wewe ni mumewe kweli???,
 
Hii thread inajirudia tena ndani ya week moja nashaauri mods wafute tu ili server ipumue

Mtoto wa kiume ukajiita mku.du huu si uchoko.zi huu...af acha tabia zako za kujitongozesha kwa wanaume na tabia hii ikome...Uganda utanyongwa
 
Back
Top Bottom