Wanawake kuitana majina ya kimahaba

Wanawake kuitana majina ya kimahaba

Huo mdo ukweli, tunaitana majina matamu wakati moyoni tumejawa chuki, husda na vijicho....
Wanaume wanaitana majina ya ajabu kama -----, f.a.l@ na mengineyo ila moyoni wanesafiana

Ni PM NAMBA YAKO YA TIGO PESA YAN UMEONGEA BONGE MOJA LA POINT...SINA CHA KUONGEZEA ntaharibu
 
#teammfano
girl 1:baby mambo
girl 2 : poa sweet umzima
girl 1 : niko poa hun upo hme leo nimeona niko bored nataka nie nikutembelee
girl2 : njoo jamani mpenzi hata mimi nimemkumiss kukuona
girl 1: haya nakuja mpenzi usisahau kuniandalia
girl 2 to girl 3 : huyu malaya anakuja nyumbani kwangu aaaggghhh simpendi basi tu sina jinsi anafikiri akija nitamuandalia chakula hapati kitu hapa zaidi ya maji

upande wa wanaume
msela 1 : we ---- vipi upo
msela 2: nipo we boya, umenikumbuka leo ?maajabu sana,umefulia nini??
Msela 1 : acha ukuda shwaini wewe,mimi siwezi kufulia kabla yako
msela 2 : kalale mbele kiazi wewe
msela 1 : oya leo nakutimbia skani mida falni si upo??
Msela 2 : najua una njaa sasa njoo ila usitegemee chakula.

Msela 2 to msela 3 : dah leo mwanangu juma anakuja dah mshkaji wangu wa kitambo sana yaani tokea utotoni tunasoma wote mpl leo,namkubali sana jembe langu yaani tumesaidiana sana kwenye mambo mengi,namwaminia sana ngoja aje nimfanyie suprise za kutosha
hahahaha inawezekana kweli
 
Hapa kweli tupu, mabibi wanapenda hiyo jamani mume wangu huyo.

Na kina Babu nao kwa wajukuu wa kike nao wanapenda hii ya mke wangu. Ila kuna tabia moja wanayofanya kina babu sio vizuri, kitoto kidogo cha kike umri wa miaka labda mfano minne hivi - babu anasema mke wangu huku anakishika manyonyo kitoto kinajinyonga nyonga(anaona kero) kwa kweli utani ule siuzimikii. Mbona kina bibi hawashiki dushelele la mjukuu wao.
Ni majina tu, kwani unapoenda kwa bibi yako kule kijijini kwenu bibi akianza kusema mume wangu huyo amekuja kunisalimia huwa anamaanisha wewe ni mumewe kweli???,

Kama hujajua,girls call each other sweet names but don't mean it,boys call each other abusively but are so loyal
Kama vile - Jambazi langu vipi?, Muhuni wangu inakuaje?, Kichaa, Chizi, Kibaka, Mbwa, Paka, Chalii, Babu, Mazee, Mzee nk
 
Hii thread inajirudia tena ndani ya week moja nashaauri mods wafute tu ili server ipumue

Hyo server unalipia wewe?

Wengine hatukuona hyo ulioona wewe.

So, shut up and move on.
 
Jamani my sweetie wangu valentine nimekumiss..eeh dear wangu Karucee hujambo.....honey tinna cute unajua lile gauni lilikufit vizuri kweli na ulivyo mrembo sio kama FaizaFoxy alivyolivaa....ulipendeza kweli darling.....hapo namshika na kiunoo...akiondoka namg'onga nagonga viganja na miss chaga....
 
Last edited by a moderator:
Jamani my sweetie wangu valentine nimekumiss..eeh dear wangu Karucee hujambo.....honey tinna cute unajua lile gauni lilikufit vizuri kweli na ulivyo mrembo sio kama FaizaFoxy alivyolivaa....ulipendeza kweli darling.....hapo namshika na kiunoo...akiondoka namg'onga nagonga viganja na miss chaga....

Darlng asante,,,, hujambo swity miss u sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom