Wanawake kuitana majina ya kimahaba

Wanawake kuitana majina ya kimahaba

Inakera hasa ukpata dem wako Na wafanyakaz wenzake kwa mf.Walimu wakikutana au Jamii ya madem wengne...sio maadili hata Kama hawashrik lesbians
 
Kama hujajua,girls call each other sweet names but don't mean it,boys call each other abusively but are so loyal
 
Huo mdo ukweli, tunaitana majina matamu wakati moyoni tumejawa chuki, husda na vijicho....
Wanaume wanaitana majina ya ajabu kama -----, f.a.l@ na mengineyo ila moyoni wanesafiana.

Kwa hiyo wala msione wivu, hatumaanishagi......!
 
#teammfano
girl 1:baby mambo
girl 2 : poa sweet umzima
girl 1 : niko poa hun upo hme leo nimeona niko bored nataka nie nikutembelee
girl2 : njoo jamani mpenzi hata mimi nimemkumiss kukuona
girl 1: haya nakuja mpenzi usisahau kuniandalia
girl 2 to girl 3 : huyu malaya anakuja nyumbani kwangu aaaggghhh simpendi basi tu sina jinsi anafikiri akija nitamuandalia chakula hapati kitu hapa zaidi ya maji

upande wa wanaume
msela 1 : we ---- vipi upo
msela 2: nipo we boya, umenikumbuka leo ?maajabu sana,umefulia nini??
Msela 1 : acha ukuda shwaini wewe,mimi siwezi kufulia kabla yako
msela 2 : kalale mbele kiazi wewe
msela 1 : oya leo nakutimbia skani mida falni si upo??
Msela 2 : najua una njaa sasa njoo ila usitegemee chakula.

Msela 2 to msela 3 : dah leo mwanangu juma anakuja dah mshkaji wangu wa kitambo sana yaani tokea utotoni tunasoma wote mpl leo,namkubali sana jembe langu yaani tumesaidiana sana kwenye mambo mengi,namwaminia sana ngoja aje nimfanyie suprise za kutosha
 
Hahahaaaaaaa, ukweli mtupu....honey honey za kinafiki!
 
Back
Top Bottom