akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,767
- 1,157
Ni majina tu, kwani unapoenda kwa bibi yako kule kijijini kwenu bibi akianza kusema mume wangu huyo amekuja kunisalimia huwa anamaanisha wewe ni mumewe kweli???,
Afadhali hiyo inahusisha jinsia 2 tofauti.
Sent from my iPhone using JamiiForums app