Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,516
- 9,809
Labeik habibty wangu dear mekumiss sana ati
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Hivi hizi simu za blackberry bado zipo duniani!!!!

na wewe mlipize kwa kumuita mwanaume mwenzio kama hivyo.
wazee hii imekaaje,unakuta dem wako anamuita mschana mwenzake hny,mpnz,swty,laazizi..hii imekaaje me nawasiwasi sana juu ya huyu mpnz wangu anavoitana na marafiki zake wa kike majina hayo...
nahofia anaeza kuanza haya mambo ya wajaalutwa wa paramia vikuta (Lesbians)
imekaaje kiupande wako je ni sawa kuitana majina haya....
Kama huna cha kuchangia soma na usepe
Na wewe waite wanaume wenzio hivyo hivyo, kinakushinda nini?
Mstahiki Meya unaona kizazi cha .com
wazee hii imekaaje,unakuta dem wako anamuita mschana mwenzake hny,mpnz,swty,laazizi..hii imekaaje me nawasiwasi sana juu ya huyu mpnz wangu anavoitana na marafiki zake wa kike majina hayo...
nahofia anaeza kuanza haya mambo ya wajaalutwa wa paramia vikuta (Lesbians)
imekaaje kiupande wako je ni sawa kuitana majina haya....
Kama huna cha kuchangia soma na usepe
na wewe mlipize kwa kumuita mwanaume mwenzio kama hivyo.
Uzungu wa mabinti wa kisasa
Women are just creatures that know how to express love, so full of it. Something you will hardly find in men.
Hivi hizi simu za blackberry bado zipo duniani!!!!
missing my sweet girls
Mtoto wa kiume ukajiita mku.du huu si uchoko.zi huu...af acha tabia zako za kujitongozesha kwa wanaume na tabia hii ikome...Uganda utanyongwa
na wewe mlipize kwa kumuita mwanaume mwenzio kama hivyo.
Nadhani suruali unayovaa ina zeep kwa nyuma kwahiyo umeamua kutafuta mabwana kwa kuanzisha ma thread
Yule miss Tanzania 2016??