Wanawake kama unafanya haya sahau ndoa...

Kila mtu na mtuwe ww usipopenda mkaa uchi wapo wenzio wanakutana nao club na wanaoa,
Wapo walevi wa kila aina ya kilevi huwapata wenzao wao the same,
Kusali sio lazima kanisani au mskitini hata ukinenea moyoni kwa imani mungu atakuskia

Ongeza ambavyo mm binafsi nitaelewa hapa sijakuelewa bado
VP kuwa na hekima na busara
 
Kuna mmoja hivi alikuwa ananyodo sana anajianika juani kama mjusi na anamtoto mmoja sasa anatuambia mm cwez kuolewa na wanuka jasho naolewa na harusi ya kitajiri kwanza mpishi tu anachukua 9M,hiyo ilikuwa ni 2016 sasa hivi analia oh cku hizi hakuna kuolewa juzi ananikimbilia nikamwabia samahani kuna watoto wabichi huku wenye sifa za kuolewa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom