Wanawake kama unafanya haya sahau ndoa...

Mnavyotunyanyasa na hizo ndoa utafikiri mkituoa mnatupa bilioni saba kumbe umaskini tu
Eeish
Umasikini ni matokeo tu, ila ndoa ni jambo la asili, na hakuna mwanamke mwenye akili timamu asiye taka ndoa. Ndoa humpa mwanamke heshima, hayo mengine ni matokeo tu.
 
ndio msifanye ndoa big deal utafikiri ni pepo
 
Back
Top Bottom