Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,977
- 236,715
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lazima kama utaitaji mtoto kama utaitaji kukidhi haja zako za mwili bila ndoa
Tofauti na hapo
Unatembelea kwenye njia ya dhambi na utakuwa kuni za kuchoma wenzio motoni [emoji3]
Kama huitaji hayo sio lazima
Haya sawa.
Uende kujibu msg yangu ya mwisho niliyokutumia.
Sent using Jamii Forums mobile app