cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 124,035
- 204,165
Ila muhimu n Ndoa.Hapo sio ulemavu wake amekidhi vigezo;
Gharama nafuu.
Hekima
Busara
Stress free zone n.k
Ila muhimu n Ndoa.Hapo sio ulemavu wake amekidhi vigezo;
Gharama nafuu.
Hekima
Busara
Stress free zone n.k
Leo tumalizie hii org, remix tutajadili next timeMada hihiii tunaendeleza part2
Mimi nilishawahi kusema humu kwamba ndoa si ufalme wa Mbingu kwamba tuanze kusujudia namna hiyondio msifanye ndoa big deal utafikiri ni pepo
Utakuwa umekosa sifa ya kuwa wife material
Uko sahihi.Kila mtu na mtuwe ww usipopenda mkaa uchi wapo wenzio wanakutana nao club na wanaoa,
Wapo walevi wa kila aina ya kilevi huwapata wenzao wao the same,
Kusali sio lazima kanisani au mskitini hata ukinenea moyoni kwa imani mungu atakuskia
Ongeza ambavyo mm binafsi nitaelewa hapa sijakuelewa bado
Usinitishe[emoji3]Utakuwa umekosa sifa ya kuwa wife material
Kwakua na ubishi
Hivyo basi hakuna ndoa [emoji3]
Sorry but umenibadili jinsia Mimi baba wa family umenichukulia demu
Leo tumalizie hii org, remix tutajadili next time
Mimi nilishawahi kusema humu kwamba ndoa si ufalme wa Mbingu kwamba tuanze kusujudia namna hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]usinitisheNdo mnavyosema ila ukweli unaujua
Na mtazeekea home [emoji3] bado tutaendelea kusisitiza vigezo
Ahsante kwa taarifa...
Nakazia, kama unavaa suruali imechanika mapajani au magotini sahau kuolewa
Umependeza sana.Yeeeeaaah ni mie
Unabusara sana.
Tusifanye vipi wakati tayari Ndoa ni jambo kubwa...?ndio msifanye ndoa big deal utafikiri ni pepo
Si ndio hapo sasa. Imagine ndala ya chooni inataka itoke na kiatu cha kazini.Yaani unakuta wanatiririka hayo yote halafu yeye hana hata sifa moja
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Si ndio hapo sasa. Imagine ndala ya chooni inataka itoke na kiatu cha kazini.