Wanawake kama unafanya haya sahau ndoa...

Wanawake kama unafanya haya sahau ndoa...

Mkuu mleta uzi umedanganya kwa kiasi cha [emoji470] Lazima upigwe ban
 
Kila mtu na mtuwe ww usipopenda mkaa uchi wapo wenzio wanakutana nao club na wanaoa,
Wapo walevi wa kila aina ya kilevi huwapata wenzao wao the same,
Kusali sio lazima kanisani au mskitini hata ukinenea moyoni kwa imani mungu atakuskia

Ongeza ambavyo mm binafsi nitaelewa hapa sijakuelewa bado
10. Kama hujaelewa hakuna ndoa 😂😂😂
 
Mkuu, asante kwa ujumbe mzuri naamini umewafikia walengwa.

Lakini pia siku hizi kuna changamoto inakua kwa kasi sana.

Ni kuhusu Mwanaume mmoja au mwanamke mmoja kujitokeza na kuongea kwa niaba ya wanaume wote au wanawake wote.

[emoji23]
 
Wanawake sometimes utakutaa huolewi au hupat mchumba wa kueleweka tatizo ni wewe. Utashangaa wenzako wakiewa wewe ukiendelea kuwa mpendwa mtizamaji.

1. Mwanamke kama unamwanaume zaid ya mmoja sahau ndoa. Utaishiwa kupigwa tu danadana

2. Unachagua mtu eti sitaki mpiga debe mara sitaki mwanaume asiye na gari sahau ndoa dada angu.

3. Mwanamke uliyekaa tu hta hujishughulishi kupika mihogo, maandazi kazi yako vizinga tu sahau ndoa.

4.Siku nzima kushinda snapchat, mara tiktok, mara facebook kufuatilia udaku sahau kuolewa.

5. Mwanamke kanisani hukujui ila baa, club huko ndo kwako sahau ndoa dada yangu

6. Unavaa nguo znakubana mara ukae uchi ukitegemea utaolewa sahau ndoa aiseee

Sisi wanaume mtuonage hivihivi tunaakili sana kwenye kuangalia mwanamke wa kuoa. Mpiga debe mwenyew anataka mwanamke anaejielewa sasa nyie leteni mizaaa mwone kama kuna ndoa.
Amber Rutty Pamoja na Kutoa (_o_) lakini ameolewa!!
 
Wee nani alikwambia kuwa ada analipa mke?
Wee mwanaume ukiamua kuoa ujue hela ya mke wako wala usiulizie ata kidogo mtaishia kununiana tuu ndani ya nyumba.
hujasoma comment yangu mpaka mwisho,nimesema siku ukikwama...hujui kwenye maisha kuna kupanda na kushuka,kuna kuumwa na hata kifo wakati mwingine...siku ukiumwa na hujiwezi,vipi tako la mkeo ndo litaleta chakula ndani na kuwalipia watoto ada??
 
Sasa nikiumwa sii ataenda kudanga na hilo tako na atapata hela ya kwalisha watoto.
Hawezi kosa kidume wakumpa hela akiwa na tako wewe.
 
Mmmmm ndoa zipo tu afu kuna aina nyng za wife material kaolewa amber rutty sembuse hao
 
Kila mtu na mtuwe ww usipopenda mkaa uchi wapo wenzio wanakutana nao club na wanaoa,
Wapo walevi wa kila aina ya kilevi huwapata wenzao wao the same,
Kusali sio lazima kanisani au mskitini hata ukinenea moyoni kwa imani mungu atakuskia

Ongeza ambavyo mm binafsi nitaelewa hapa sijakuelewa bado
Mbishi we mwanamke [emoji3]

Na hatuoi wabishi wabishi
 
Back
Top Bottom