Wanawake kama unafanya haya sahau ndoa...

Wanawake kama unafanya haya sahau ndoa...

Tuache kusemeana wakuu, Sumu kwako kwa mwingine msosi. Nawasilisha
 
bullar nimekuona hapa man umepita bila kuacha nyayo, njoo PM fasta nikupe connection
 
Wanawake sometimes utakutaa huolewi au hupat mchumba wa kueleweka tatizo ni wewe. Utashangaa wenzako wakiewa wewe ukiendelea kuwa mpendwa mtizamaji.

1. Mwanamke kama unamwanaume zaid ya mmoja sahau ndoa. Utaishiwa kupigwa tu danadana

2. Unachagua mtu eti sitaki mpiga debe mara sitaki mwanaume asiye na gari sahau ndoa dada angu.

3. Mwanamke uliyekaa tu hta hujishughulishi kupika mihogo, maandazi kazi yako vizinga tu sahau ndoa.

4.Siku nzima kushinda snapchat, mara tiktok, mara facebook kufuatilia udaku sahau kuolewa.

5. Mwanamke kanisani hukujui ila baa, club huko ndo kwako sahau ndoa dada yangu

6. Unavaa nguo znakubana mara ukae uchi ukitegemea utaolewa sahau ndoa aiseee

Sisi wanaume mtuonage hivihivi tunaakili sana kwenye kuangalia mwanamke wa kuoa. Mpiga debe mwenyew anataka mwanamke anaejielewa sasa nyie leteni mizaaa mwone kama kuna ndoa.
Naunga mkono hoja.
 
Back
Top Bottom