Wanawake kama unafanya haya sahau ndoa...

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,209
39,030
Wanawake sometimes utakutaa huolewi au hupat mchumba wa kueleweka tatizo ni wewe. Utashangaa wenzako wakiewa wewe ukiendelea kuwa mpendwa mtizamaji.

1. Mwanamke kama unamwanaume zaid ya mmoja sahau ndoa. Utaishiwa kupigwa tu danadana

2. Unachagua mtu eti sitaki mpiga debe mara sitaki mwanaume asiye na gari sahau ndoa dada angu.

3. Mwanamke uliyekaa tu hata hujishughulishi kupika mihogo, maandazi kazi yako vizinga tu sahau ndoa.

4.Siku nzima kushinda snapchat, mara tiktok, mara facebook kufuatilia udaku sahau kuolewa.

5. Mwanamke kanisani hukujui ila baa, club huko ndo kwako sahau ndoa dada yangu

6. Unavaa nguo zinakubana mara ukae uchi ukitegemea utaolewa sahau ndoa aiseee

Sisi wanaume mtuonage hivihivi tunaakili sana kwenye kuangalia mwanamke wa kuoa. Mpiga debe mwenyew anataka mwanamke anaejielewa sasa nyie leteni mizaaa mwone kama kuna ndoa.
 
Kila mtu na mtuwe ww usipopenda mkaa uchi wapo wenzio wanakutana nao club na wanaoa,
Wapo walevi wa kila aina ya kilevi huwapata wenzao wao the same,
Kusali sio lazima kanisani au mskitini hata ukinenea moyoni kwa imani mungu atakuskia

Ongeza ambavyo mm binafsi nitaelewa hapa sijakuelewa bado
 
Mkuu, asante kwa ujumbe mzuri naamini umewafikia walengwa.

Lakini pia siku hizi kuna changamoto inakua kwa kasi sana.

Ni kuhusu Mwanaume mmoja au mwanamke mmoja kujitokeza na kuongea kwa niaba ya wanaume wote au wanawake wote.
 
Back
Top Bottom