Wanawake jifunzeni kutafuta pesa.

Wanawake jifunzeni kutafuta pesa.

Shetani gani aliye kudanganya mwanaume lazima atoe ela kwa wanawake wapenda ela..mwanaume kamili anahudumia familia yake ,cyo hawa omba omba wa jijini.
Sasa Uanaume wako upo wapi kama Huwezi hudumia hata Mia kwa Mwanamke wako...

Huyo Hata Ukipropose utaambiwa NO..
 
Shetani gani aliye kudanganya mwanaume lazima atoe ela kwa wanawake wapenda ela..mwanaume kamili anahudumia familia yake ,cyo hawa omba omba wa jijini.
Sijazungumzia Wanawake wapenda Hela hovyo hovyo ila Mwanaume unapomtongoza Mwanamke lazima Umpendezeshe hata Kidogo...

hivi ukienda Kwenye Harusi huwezi mnunulia Mkeo Nguo au Zawadi tu
 
Wa aina hii kaa nao mbali mkuu.hivi utampaje mwanamke ambaye c mke wako ela alafu mkeo akikuomba ela unamwambia sina ela kwa wale walio oa tayari,au mamako kule kijijini anakwambia mwanangu naomba ela ya mboga,alafu unamtumia hamsini wakati hao omba omba umewapata laki tano? Inauma sana kama unajielewa
baadhi ya wanawake wakitongozwa wanaona kama wamepata kazi
 
Sijazungumzia Wanawake wapenda Hela hovyo hovyo ila Mwanaume unapomtongoza Mwanamke lazima Umpendezeshe hata Kidogo...

hivi ukienda Kwenye Harusi huwezi mnunulia Mkeo Nguo au Zawadi tu
Umeshasema mke wangu
 
Back
Top Bottom