Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
sasa kuja kujitangaza huku kwa picha ndo nini bana...??
I miss you
sasa kuja kujitangaza huku kwa picha ndo nini bana...??
Mungu Fundi jamani
Same here young man.
alafu mkuu kama umechunguza kwa makini utaona wanapiga hivi wakiwa wamevaa vimini skirt au skin jeans huwezi kuona wanapiga hizi picha huku wamegeza shingo na kichwa nyuzi 360 wakiwa wamevaa madira/madela
Hahaha Heaven on Earth naww huwa unageuka nyuma?
Huko nyuma ndo panakamilisha uanamke
nasi tutawaonesha tu....
Naomba nikutumie kapicha kangu nimevaa kimini kama hautajali....ningekua rais wa jamuhur ya muungano wa tz,nisingepiga marufuku uvaaji wowote wa nguo kwa akina dada,yan kama ni mini,leging,we piga tuu,maana kwa hali ya maisha bla nyie kutuliwaza na jins mlivoumbika,sidhan kama mi bnafsi ningeweza fika umri huu mpaka leo,napenda sana wanawake wanaopendeza,hasaa wavaa vimin hakyanani