Wanawake inawahusu hata wanaume pia

Wanawake inawahusu hata wanaume pia

Hao ni mawakala wa dawa za kichina na kiwanda chao kimehamia mwenge ni hatareeeee!.
 
am not scared. As a matter of fact... smack some.
[video=youtube_share;BBSqssKy6s k]http://youtu.be/BBSqssKy6sk[/video]

Bora hata ungenipa hii


Thank you anyway love!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
kwasababu ni mtetezi wako!anakuteteaga hata ujinga!bora asiingilie haya coz ipo cku atapata mume kama Mndengereko na mambo yakawa hayahaya ya babaye

mimi mke wangu siwezei kumtreat unfair mpk akifikia hatua ya kuomba talaka,by the way ugomvi wa mama na baba mtoto anahusikaje mpk mumwite mbona mnamkuza bure??

back to the topic hizi picha si ndo wanaita sijui 360 degrees
 
images
images
huu mkao mzuri sana, picha imejitosheleza leo

ongeza picha tafadhali
 
kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikishuhudia wadada na wanawake wakipiga picha wanageuka sasa sijajua kwanini kwanini hampigi picha zenu kwa muonekano wa mbele nyuma kuna nini kwani?kwa wapenda picha Eiyer msaada tafadhali

Na mimi naomba tu kuuliza labda nitaelewa zaidi! sisi wanaume tunapenda kuwakumbatia hawa wanawake upande upi zaidi, mbeleee au nyuma?
 
Back
Top Bottom