Inategemea mkuu, kila mwanamke ana "sifa" zake ambazo akimuona mwanaume anazo huvutiwa naye. Wengine huvutiwa na "body" la mwanaume, ucheshi, ukarimu, lugha nzuri, ucha Mungu, busara, hekima n.k. Hivyo ni baadhi tu ya vitu huweza kumfanya mwanamke avutiwa naye.Naomba kuuliza binti au mwanamke huwa unavutiwa na nini kwa mara ya kwanza pale unapomuona kijana au mwanume kwa mara ya kwanza na kusema moyoni mwako natamani angekuwa mpenzi wangu au mume wangu?
Naomba kuuliza binti au mwanamke huwa unavutiwa na nini kwa mara ya kwanza pale unapomuona kijana au mwanume kwa mara ya kwanza na kusema moyoni mwako natamani angekuwa mpenzi wangu au mume wangu?
sidhani kwa sababu mtu ndiyo umemuona kwa mara ya kwanza umevutiwa mapenzi kivipi?