Wanawake huvutiwa na nini katika mahusiano?

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,969
1,392
Naomba kuuliza binti au mwanamke huwa unavutiwa na nini kwa mara ya kwanza pale unapomuona kijana au mwanume kwa mara ya kwanza na kusema moyoni mwako natamani angekuwa mpenzi wangu au mume wangu?
 
sidhani kwa sababu mtu ndiyo umemuona kwa mara ya kwanza umevutiwa mapenzi kivipi?
 
Naomba kuuliza binti au mwanamke huwa unavutiwa na nini kwa mara ya kwanza pale unapomuona kijana au mwanume kwa mara ya kwanza na kusema moyoni mwako natamani angekuwa mpenzi wangu au mume wangu?
Inategemea mkuu, kila mwanamke ana "sifa" zake ambazo akimuona mwanaume anazo huvutiwa naye. Wengine huvutiwa na "body" la mwanaume, ucheshi, ukarimu, lugha nzuri, ucha Mungu, busara, hekima n.k. Hivyo ni baadhi tu ya vitu huweza kumfanya mwanamke avutiwa naye.

 
Mi nadhani walivyoongea waheshimiwa hapo juu wamejarb kwa kiac kikubwa na kama mheshimiwa haujaridhika naomba nisubir nimuulize huyu bint aliyeko mbali nami,"eti we mdada nyie huwa mnavutiwa na nini katika mahusiano"? Tungoje jibu toka kwake manake yy ndo mhusika mkuu....
 
huwa wanavutiwa na elfu kumi mpya mpya ambazo ukishika vibaya zinakukata..
 
siku hizi ni ngumu sana kujua mwanamke anavitiwa na nn mkuu, life has changed..pesa inadetermine mambo mengi sana kwenye mahusiano.. uwe mcheshi, mpole, mrefu ka twiga, na sifa nyingine kibao, kama huna kisu siku hizi imekula kwako!!
 
Naomba kuuliza binti au mwanamke huwa unavutiwa na nini kwa mara ya kwanza pale unapomuona kijana au mwanume kwa mara ya kwanza na kusema moyoni mwako natamani angekuwa mpenzi wangu au mume wangu?

... this very woman of mine tells me eti yeye huvutiwa na wanaume mwenye mwanya, hii inakaaje wakuu ??
 
Ponyo,mkwanja,pesa,mbesa,money,shekeli,dinary,peny...etc asikudanganye m2 ata kama kwenye 6 hujiwezi, lakini pale juu uko fresh yani ndo mpango mzima! ebu nkuulize swali, ulishaskia predezee-tajiri ya mujini imekimbiwa na mke?? lakini akina mm kila leo na ndo 2po vizuri kwenye 6.
 
Nadhani kila mmoja ana mambo yake yanayomvutiwa sawa na sisi wanaume tulivyo. Mambo yanayonivutia mimi kwa mwanamke ni tofauti na yanayokuvutia wewe.
 
Penye uzia penyeza rupia tu, kwani hawa digital ladies wanamaana?
Pesa yako tu ndo kivutio kikuu. Hata kama anajua unatoka na nani yuko tayari kuunga tela. Yaani ni kama secretary kujiangusha kwa boss wake.
 
Kow days fungu ndo mpango vinginevyo vya ziada na sio lazima saaana mtu awenavyo eti
 
sidhani kwa sababu mtu ndiyo umemuona kwa mara ya kwanza umevutiwa mapenzi kivipi?

love at first sight siku hizi ni lust at first sight

siamini kama unaweza kumpenda mtu unapomuona kwa mara ya kwanza unless kuna roho wa Mungu ndani yenu

real love inakuja baada ya kufahamiana(attitude,understanding n.k) na si mwonekano pekee
 
Jamani pesa sio kila kitu, ndio utapendwa ukiwana na pesa hata kama ukiwa mfupi sura mbaya kikojozi shoga,pesa itakulinda lakini kutakua na mmoja ambae moyo wako unampenda hata kama hana pesa..
 
ngumu kujua maana wengine hata harufu ya kikwapa kwake ni kwishnei! si unakumbuka jamaa aliyakuwa amevutiwa na 'harufu' ya house girl humu jf, na wengine hata 'hips' za paka wa bar za uswahilini! Acha kabisa love has no common formula at all!
 
nyie hamjui nn unasupport ila ukweli ni kwmb wanaume ndio wanaotamani,mwanamke hutamani kwa kushikwa au kuguswa
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom