Wanawake wa sasa wana shida ya kupanga vipaumbele

Utawala2025

JF-Expert Member
Oct 20, 2023
330
1,060
Mungu na aisaidie jinsia ya kike.

Jana nilikuwa nimepigiwa simu kuna deal la laki 5 mjini na ilibidi niwahi ndani ya nusu saa niwe nimefika.
Nilikuwa nimevaa Haraka nawahi usafiri mara mke wangu ananiita.

Mume wangu .

Mimi nikamjibu niambie.

Mke sasa si uingie bafuni ukaoge.

Nikamwambia nikioga tu nitapoteza muda na kukosa hela.

Fasta nikasepa.

Ila moyoni nikajiuliza huyu mke wangu hajui kupanga vipaumbele maishani .

Kiukweli wanawake wa sasa iwe mahusiano au ndo wana shida na Vipaumbele katika maisha.

Wao wako emotional
 
Sema mke wako
Unayeishi naye nyumba moja
Unayemjua hadi maumbile yake🤣🤣sio wanawake wa sikuhizi,usigenerelaiz joh👌
 
Mkeo ni kiumbe dhaifu. Anaona kupitia emotion wewe unaona kupitia facts and reasoning. Hapo huna haja ya kumtuhumu bali ni kumtia moyo kwenye eneo ambalo haoni mambo yaende.

Niliwahi kumsikiliza mwanamke nikajikuta sina hata 100 mfukoni alafu anakuja kuomba tena pesa ambazo yeye ndiye ameshauri zitumike kwa kujilipua na anajua sina kitu.

Nikagundua kosa sio lake happ ni mimi niliingia kwenye mfumo wake na kuacha reasoning. Maisha ni shule kila siku unatakiwa kuwa mwanafunzi ukimjifunza mwenza wako.
 
Back
Top Bottom