Wanawake hizi stori sitaki kuzisikia tena.!

Wanawake hizi stori sitaki kuzisikia tena.!

Kiukweli hata ukijiuliza mara ngapi ngapi bado ni ngumu kumjua mkweli au anayedanganya kwa sababu siku zote moyo wa mtu ni kichaka. Hivyo ni vyema kumtanguliza mungu mana unaweza kukuta mtu ana maneno matamu kumbe kuna ambacho amekifuata akishakipata anakimbia.

Yanabaki majuto.
Mungu yupi kwenye mbunye??sio vizuri i see
 
Back
Top Bottom