Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,944
- 15,710
Ni ngumu hiyoNgoja nianze kuzizuia akili sizihamie chini aisee
Ni ngumu hiyoNgoja nianze kuzizuia akili sizihamie chini aisee
Hahahaaa! Siku zote kitu kuwa kigumu au chepesi inategemea na moyo unataka iweje.Ni ngumu hiyo
Haaaa yani uamue ukae na genye? Angalia usije kuwa chizi mpendwa haaaaHahahaaa! Siku zote kitu kuwa kigumu au chepesi inategemea na moyo unataka iweje.
Nionavyo sio ngumu hata kidogo ni kiasi cha kuamua tu.
HahahaaaaaHaaaa yani uamue ukae na genye? Angalia usije kuwa chizi mpendwa haaaa
Uwe mwalimu au kungwi waoKabla hujamuamini Mwanaume kwa maneno yake
matamu na ahadi nyingi kuliko Ilani ya CCM mwaka
2015 ilivyokuwa kabla ya Uchaguzi,
FANYA
MAMBO HAYA MAWILI:
1.Jiulize Ni Mara ya ngapi unaambiwa maneno
hayohayo matamu,na ukawa excited hivihivi na wanaishia tu kukuvua nonihino na kuondoka bila
kutekeleza walichoahidi
AU
kutekeleza kwa muda
mfupi tu wakiwa wanakulia timing uchanue
waweke muhuri halafu basi
2.Muulize hayo maneno matamu anayokwambia, ya
natoka moyoni au kwenye Ncha ya Zipu yake ya Suruali
Wanaume tuna Uongo Uleule, Maneno
yaleyale, Style Zilezile miaka 8000 lakini bado na
wewe unadanganywa kwa Style zilezile za minyoo
na unaishia kulia machozi kwa vitu vilevile.
Tumechoka kusikia Stori zilezile,
Danganywa kwa vitu vipya...Oh Aliniahidi kunioa kanipa Mimba
kaikataa....Nakuwamba na Vibao kabisa...Stori
kanipa Bibi yangu na wewe unaitumia???
WAKE UP
GIRLS....Usiwe na moyo wa Ajuza wakati una miaka
24
Clarification.Ndo maana tunapotea tatzo kugawa dudu
Jizuie tu lakiniHahahaaaaa
Mahusiano na ndoa nyingi zinadumu kwa asilimia nyingi za uongo kwa kizazi cha leo.....so bila danganya toto upati kituuu aseee chali anguuu......Bila kudanganya hupati mwanamke....Vilevile na wao wasipo danganywa hawakubali...
Unakuta mtu anakuambia kama hutaki ndoa Basi sikutaki jifanye kusema ukweli Sasa kama utampata....
Cc jje's unakumbuka ile ahadi ya stunter kukupeleka shopping Dubai?????
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Mahusiano na ndoa nyingi zinadumu kwa asilimia nyingi za uongo kwa kizazi cha leo.....so bila danganya toto upati kituuu aseee chali anguuu......
Maneno bia uongo hayana ashkikwa kweli maneno matupu hayana ashki
bila pesaManeno bia uongo hayana ashki
NiceKabla hujamuamini Mwanaume kwa maneno yake
matamu na ahadi nyingi kuliko Ilani ya CCM mwaka
2015 ilivyokuwa kabla ya Uchaguzi,
FANYA
MAMBO HAYA MAWILI:
1.Jiulize Ni Mara ya ngapi unaambiwa maneno
hayohayo matamu,na ukawa excited hivihivi na wanaishia tu kukuvua nonihino na kuondoka bila
kutekeleza walichoahidi
AU
kutekeleza kwa muda
mfupi tu wakiwa wanakulia timing uchanue
waweke muhuri halafu basi
2.Muulize hayo maneno matamu anayokwambia, ya
natoka moyoni au kwenye Ncha ya Zipu yake ya Suruali
Wanaume tuna Uongo Uleule, Maneno
yaleyale, Style Zilezile miaka 8000 lakini bado na
wewe unadanganywa kwa Style zilezile za minyoo
na unaishia kulia machozi kwa vitu vilevile.
Tumechoka kusikia Stori zilezile,
Danganywa kwa vitu vipya...Oh Aliniahidi kunioa kanipa Mimba
kaikataa....Nakuwamba na Vibao kabisa...Stori
kanipa Bibi yangu na wewe unaitumia???
WAKE UP
GIRLS....Usiwe na moyo wa Ajuza wakati una miaka
24
Kumbeebila pesa