Kwani men anapokuja for first time wewe hufikilia anataka nn?Kiukweli hata ukijiuliza mara ngapi ngapi bado ni ngumu kumjua mkweli au anayedanganya kwa sababu siku zote moyo wa mtu ni kichaka. Hivyo ni vyema kumtanguliza mungu mana unaweza kukuta mtu ana maneno matamu kumbe kuna ambacho amekifuata akishakipata anakimbia.
Yanabaki majuto.
Wewe ni me au ke?kudanganya kwenye mahusiano iyo ni nature... hakuna relationship iliyo perfect hata siku mmoja
kama unasubiri mkamilifu utaumia na roho yako buree
nigga!!!!! pwwizWewe ni me au ke?
men like what they see that's y women fake their body and "WOMEN LIKE WHAT THEY HEAR THAT'S WHY MEN LIE"Tupe tupe!!!!
Sijui tunadanganyika nini!
Hahah, jje's nimempeleka hadi Toronto... Labda hapo dubai aende mara ya nneBila kudanganya hupati mwanamke....Vilevile na wao wasipo danganywa hawakubali...
Unakuta mtu anakuambia kama hutaki ndoa Basi sikutaki jifanye kusema ukweli Sasa kama utampata....
Cc jje's unakumbuka ile ahadi ya stunter kukupeleka shopping Dubai?????
Kama mambo yenyewe ndio hayo basi bora nisingepost huu uzi... Habari za kupangwa foleni sizipendiMbona unatuharibia aisee..waache tujilie vyetu bhana.hata wao hua wanapenda na wanapata raha sema tu ukimpiga chini ndo wanasingizia eti aliahidi kunioa kaniacha..na jinsi walivyo siku hizi wanatuchanganya changanya unamkuta mdada ana wanaume watatu waache hivyo hivyo tuwafunze adabu ili wabadilike mwisho wa siku maana kwa maneno ya kuwasihi wameshindwa
Japokuwa ni vigumu, lakini naamini mtu mwenye nia njema unamjua tu,Kiukweli hata ukijiuliza mara ngapi ngapi bado ni ngumu kumjua mkweli au anayedanganya kwa sababu siku zote moyo wa mtu ni kichaka. Hivyo ni vyema kumtanguliza mungu mana unaweza kukuta mtu ana maneno matamu kumbe kuna ambacho amekifuata akishakipata anakimbia.
Yanabaki majuto.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Unafikiri hatujui kama tunadanganywa, basi tu akili zikihamia chini ya kitovu unahisi umempata malaika
Jibu swali umarekani haukusaidii kitu!nigga!!!!! pwwiz