Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
hiyo 13 ni ya msaada wa watu wa marekani.Mwenzangu ndio nimeulizwa niuweke niuweke umri wangu kwenye notes body [emoji28][emoji28][emoji28] watu wanavisa sana aiseeh cha kusikitisha nimejitahid kuwa mkweli nikaweka 36 kumbe haijamtosha mtoa mada ikaniongezea 13 kwa hisani ya mdau [emoji23][emoji23][emoji23]
Now nina 49 banah binadam sio wema.
Wanaume bhna...miaka ya mwanamke ya nini??kwani wanataka kutununulia viatu ama!!