Wanawake hawaolewi kwasababu wametaka

Sababu kuu ni chagua chagua nyingi. Wakija shtuka muda umekwisha.

Zamani ndoa ilikuwa unachaguliwa. Yaani unaenda kuolewa hata hujui mumeo anafananaje.
Sasa siku hizi wamejitia madaraka ya kupenda kwanza. madaraka ambayo hayawahusu. Kazi ya kupenda ni ya mwanaume. Wewe ni kutii na kuheshimu tu.
Acha wachine.

Cc Marianah
 
Nimewaza sana, na kufanya upembuzi yakinifu na Kugundua kuwa Wanawake Wengi hawaolewi kwasababu tu Wametaka iwe hivyo... Kwanini nasema hivyo:-

1. Kama wangetaka kuolewa basi wasingeweza kutoa unyumba bure bila masharti

2. Wengi wanataka wanaume waliofanikiwa sio wale watakaofanikiwa nao pamoja( hapa wanasubili kunyang'anya wachumba wa wenzao)

3. Wanapenda Kitonga sana mwisho wa siku wanaishia kupigwa miti na kila mtu( hivyo kuchafua cv zao kwa wanaume tarajiwa)

Hivyo kama wanawake wote wangeweka sharti la kutotoa unyumba mpk wanaolewa _Basi tungekuwa tunakula ubwabwa wa harusi kila uchao_ na wengi wangeolewa wakiwa na Bikra zao

Nawasilisha mtazamo
Kosa lako la kwanza ni kujifanya mwanamke wakati unajua fika wewe ni mwanaume hivyo kukosa mantiki ya kuwasemea dada zetu.

Thread closed.

Cc Marianah
 
Kweni lazima waolewe?
Mbona hata zamani wapo wanawake walokua hawaolewi?
 
Sababu kuu ni chagua chagua nyingi. Wakija shtuka muda umekwisha.

Zamani ndoa ilikuwa unachaguliwa. Yaani unaenda kuolewa hata hujui mumeo anafananaje.
Sasa siku hizi wamejitia madaraka ya kupenda kwanza. madaraka ambayo hayawahusu. Kazi ya kupenda ni ya mwanaume. Wewe ni kutii na kuheshimu tu.
Acha wachine.

Cc Marianah
Unajifunza kupenda ukiwa ndoani.
Yaani baba anachagua mtoto kutoka familia fulani na kusema huyu ataolewa na mwanangu na mahari analipa kabisa.
Babu yangu aliwahi kwenda mkoa wa mbali na home.
Huko akapata rafiki ambaye alikuwa na mabinti wazuri na wenye tabia njema.
Anavyorudi alikuja na binti mmoja kwa ajili ya baba yetu mdogo.
 
Ilikuwa poa sana ....
 
Nakuunga mkono
Sababu kuu ni chagua chagua nyingi. Wakija shtuka muda umekwisha.

Zamani ndoa ilikuwa unachaguliwa. Yaani unaenda kuolewa hata hujui mumeo anafananaje.
Sasa siku hizi wamejitia madaraka ya kupenda kwanza. madaraka ambayo hayawahusu. Kazi ya kupenda ni ya mwanaume. Wewe ni kutii na kuheshimu tu.
Acha wachine.

Cc Marianah
 
Wasichana wa siku hizi wenye age kuanzia 23-26 ukiwatajia kuhusu ndoa utasikia wanakuambia nakula bata kwanza mambo yakuanza kunyonyesha ziwa langu litakosa mvuto...iseee unabaki unachoka...wengine ndo wale wanasubiria kupata mabwana wenye mahela na magari ya kifahari....halafu Mungu alivyowaajabu hao mabwana wenye ela na magari mwisho wa siku huwatumia na kuwabwaga baada ya kula mbunye wakishafikisha age kuanzia 27-31 wanaanza kuhaha kutafuta mabwana wa kuwaoa wakati huo mzee na sisi wanaume tunakuwa tunawaza kupata mwanamke mbichi wa kuanzia age 23-26 Ila kwa sisi tunaopenda kuoa!! Anyway wanawake mnaoringa kuwa sisi wenye kipato cha chini hatuwezi kuwatunza endeleeni tu wakati wazazi wetu walikuwa na maisha ya kawaida na walitulea hivyo hivyo kwa shida mpaka tukakuwa na tukawa tunajitegemea kama sasa hivi!!! Siku zote usitegemee utakutana na maisha yaliyonyooka jitihada zako na mwenzio kwa pamoja katika ushirikiano uliothabiti mnaweza kujenga maisha ambayo mlikuwa mnategemea kuja kuishi pamoja!! Duniani hakuna MTU anayependa kuishi maisha ya Shida Ila tu changamoto za kidunia ndo huwa zinapelekea MTU kuwa na maisha ya shida Ila nijukumu letu kupambana na hizo changamoto ili angalau tuwe katika level ambayo unakula na kulala bila stress!!!
 
Umeandika kwa hisia sana bila shaka kuna true story behind this uandishi
 
Ujumbe mzuri Kaka Thomas
 
Back
Top Bottom