Kwanini wanawake wengi hawaolewi siku hizi?

kdom

JF-Expert Member
Jan 23, 2017
238
146
KWA NINI WANAWAKE WENGI SIKU HIZI HAWAOLEWI?

Kwa sababu WENGI HUPISHANA NA WAUME ZAO
Kwa mfano :
1.Mwanamke anapigiwa simu kwa namba ngeni, anauliza namba yangu umeitoa wapi? Usiponiambia aliyekupa usinipigie. HAPO UMEPISHANA NA MUME

2.Mwanamke anaingia ndani ya daladala, amekaa na mwanaume, kwa maringo, anachukua earphone na kuweka masikioni na kuwasha mziki ili asiongeleshwe HAPO UMEPISHANA NA MUME

3.Mwanamke anasalimiwa njiani, anaitikia, akiongeleshwa tena anachuna HAPO UMEPISHANA NA MUME.

4.Mwanamke unatumiwa meseji inbox, hujibu. HAPO UMEPISHANA NA MUME

5.Mwanamke unapigiwa simu na mwanaume, unaona kabisa anakupigia ila hutaki kupokea tu. HAPO UMEPISHANA NA MUME.

6.Mwanamke unakwenda gheto kwa mwanaume, una mkoba wako, ukifika muda wa kuondoka unaomba nauli. HAPO UMEPISHANA NA MUME

7.Mwanamke unakwenda kwa mwanaume, badala ya kusonga ugali, cha kwanza unataka chipsi kuku. HAPO UMEPISHANA NA MUME

8.Mwanamke unaanza uhusiano na mwanaume, siku ya pili tu unamwambia bebi sina hela ya vocha. HAPO UMEPISHANA NA MWANAUME -.

9.Mwanamke unachati na mwanaume, chatting zako ni K, P, Pw. HAPO UMEPISHANA NA MUME

10.Mwanamke unaweka picha hapa fb mapaja wazi, kifua umebust. HAPO UMEPISHANA NA MUME

11.Mwanamke unamwambia mwanaume akutumie video za ngono kwenye simu HAPO UMEPISHANA NA MUME

12. Mwanamke upo na mwanaume, anakwambia agiza chochote, bila kujishtukia unaagiza bia. HAPO UMEPISHANA NA MUME

[HASHTAG]#Zingatia[/HASHTAG]
Usilalamike kwamba kwa nini mpaka sasa hivi hujaolewa. Jiulize kwanza ni mara ngapi umepishana na mume.???

Lakini pia kumbuka binti mzuri ni miaka 22,23,24,25.
Kwa mliofika chuo kikuu basi tufanye 26, 27na 28,
Ukifika 29 huwa ni mstari mwekundu hapa waweza angukia mikoni mwa mzee wa miaka 52.

Ni vizuri binti uzae miaka ya 20s na ukomo uwe 35 kwa maana ya kufunga kizazi na kuwaza maisha na kuanza kula ulivyoviandaa.

Ukivuka miaka 35 kwa mwanamke ujue umaskini hautoumaliza, yaani ununue nepi una miaka 40.
Vilevile afya yako itatengamaa.

Hivyo tunatakiwa kuzisoma nyakati

Ninyi wanaume umemaliza degree ya kwanza una miaka 26,27,28,na 29 kwa sasa bado unasema unajipanga huwezi kuoa sasa hivi.
Kumbuka dunia imeisha kulikuwa na ebora sasa nasikia VIRUSI VYA ZIKAA kwa akina mama na watoto, Leo mtu anakufa kwa kuanguka kama papai, huna mtoto historia ya marehemu huwa haichekeshi japo huzua walakini!!!

Kukaa unaenda nje na kutongoza tongoza bora oa tu ndugu.

Hakuna cku ambayo unaisubiri ujenge nyumba, uwe na gari maana wengi mnawaza kujenga kwanza, jenga na mkeo ili usimnyanyase.

Hivyo ndugu zangu sisemi muoe au msioe LA hasha, ELIMU YAKO ITATHAMINIWA SANA UKIOA AU KUOLEWA...

Na wewe MWanamke unatumiwa meseji inbox, hujibu. NAKUHAKIKISHIA HAPO UMEPISHANA NA __________________?
 
Mfa maji mwingine huyu, sema wewe umekosa kumpata mwanamke unayemtaka kwa kuwa hakutaki, sasa unaanza visingizio, aliyekwambia kwamba Wanawake nao wanataka kuolewa kuliko Wanaume wanavyotaka kuoa ni nani?

Wote ni ngumu kupata mwenza, kwa Mwanaume ni ngumu kupata Mke na kwa Mwanamke pia ni ngumu kupata Mwanaume ampendaye, na hakuna wa kulamumiwa hapo, hivyo acha kujidanganya hata wewe pia ni ngumu kupata Mwanamke!

Wee ongeza game na next time umpendaye labda atakukubali!
 
Namba 3,4 na 5 ziliniweka mbali na mwanadada fulani miaka ya 2010/11. kipindi sijaoa wala sina muelekeo zaidi ya malengo tu!

Alikuja kunkuta na pete yangu kwa kidole akataharuki kama vile nilimuahidi muoa yeye alikuwa mnyonge nkajiuliza hiv alitaka anichunie tena au?

Akataka adi kuwa mchepuko wangu na mim kwa makisudi nka apply namba zake 3,4 na 5
 
Dr. Luis Shika atawaoa wasiwe Na wasiwasi
25550574_2217807184911516_5450622096765579892_n.jpg
 
Hawaolewi ndio maana wako wengi kila sehem ukipita wamejaa kibao!
Club usiku wako kibao
Sokoni mchana wako kibao
Yaan kila kona wako kibao babaake
 
KWA NINI WANAWAKE WENGI SIKU HIZI HAWAOLEWI?

Kwa sababu WENGI HUPISHANA NA WAUME ZAO
Kwa mfano :
1.Mwanamke anapigiwa simu kwa namba ngeni, anauliza namba yangu umeitoa wapi? Usiponiambia aliyekupa usinipigie. HAPO UMEPISHANA NA MUME

2.Mwanamke anaingia ndani ya daladala, amekaa na mwanaume, kwa maringo, anachukua earphone na kuweka masikioni na kuwasha mziki ili asiongeleshwe HAPO UMEPISHANA NA MUME

3.[colour=red]Mwanamke anasalimiwa njiani, anaitikia, akiongeleshwa tena anachuna HAPO UMEPISHANA NA MUME.[/color]

4.Mwanamke unatumiwa meseji inbox, hujibu. HAPO UMEPISHANA NA MUME

5.Mwanamke unapigiwa simu na mwanaume, unaona kabisa anakupigia ila hutaki kupokea tu. HAPO UMEPISHANA NA MUME.

6.Mwanamke unakwenda gheto kwa mwanaume, una mkoba wako, ukifika muda wa kuondoka unaomba nauli. HAPO UMEPISHANA NA MUME

7.Mwanamke unakwenda kwa mwanaume, badala ya kusonga ugali, cha kwanza unataka chipsi kuku. HAPO UMEPISHANA NA MUME

8.Mwanamke unaanza uhusiano na mwanaume, siku ya pili tu unamwambia bebi sina hela ya vocha. HAPO UMEPISHANA NA MWANAUME -.

9.Mwanamke unachati na mwanaume, chatting zako ni K, P, Pw. HAPO UMEPISHANA NA MUME

10.Mwanamke unaweka picha hapa fb mapaja wazi, kifua umebust. HAPO UMEPISHANA NA MUME

11.Mwanamke unamwambia mwanaume akutumie video za ngono kwenye simu HAPO UMEPISHANA NA MUME

12. Mwanamke upo na mwanaume, anakwambia agiza chochote, bila kujishtukia unaagiza bia. HAPO UMEPISHANA NA MUME

[HASHTAG]#Zingatia[/HASHTAG]
Usilalamike kwamba kwa nini mpaka sasa hivi hujaolewa. Jiulize kwanza ni mara ngapi umepishana na mume.???

Lakini pia kumbuka binti mzuri ni miaka 22,23,24,25.
Kwa mliofika chuo kikuu basi tufanye 26, 27na 28,
Ukifika 29 huwa ni mstari mwekundu hapa waweza angukia mikoni mwa mzee wa miaka 52.

Ni vizuri binti uzae miaka ya 20s na ukomo uwe 35 kwa maana ya kufunga kizazi na kuwaza maisha na kuanza kula ulivyoviandaa.

Ukivuka miaka 35 kwa mwanamke ujue umaskini hautoumaliza, yaani ununue nepi una miaka 40.
Vilevile afya yako itatengamaa.

Hivyo tunatakiwa kuzisoma nyakati

Ninyi wanaume umemaliza degree ya kwanza una miaka 26,27,28,na 29 kwa sasa bado unasema unajipanga huwezi kuoa sasa hivi.
Kumbuka dunia imeisha kulikuwa na ebora sasa nasikia VIRUSI VYA ZIKAA kwa akina mama na watoto, Leo mtu anakufa kwa kuanguka kama papai, huna mtoto historia ya marehemu huwa haichekeshi japo huzua walakini!!!

Kukaa unaenda nje na kutongoza tongoza bora oa tu ndugu.

Hakuna cku ambayo unaisubiri ujenge nyumba, uwe na gari maana wengi mnawaza kujenga kwanza, jenga na mkeo ili usimnyanyase.

Hivyo ndugu zangu sisemi muoe au msioe LA hasha, ELIMU YAKO ITATHAMINIWA SANA UKIOA AU KUOLEWA...

Na wewe MWanamke unatumiwa meseji inbox, hujibu. NAKUHAKIKISHIA HAPO UMEPISHANA NA __________________?

Hapo kwenye red naona itakua kuna mambo umekumbana nayo kutoka kwa wanawake ukaona uje uyaseme ila mwisho umeweka kibwagizo UMEPISHANA NA MUME yavumilie tu ndio tabia zao wengi

Hapo kwenye blue, mwanamme huwezi kukurupuka kuoa kwa kigezo cha kuogopa kufa bila kuacha mtoto, ndoa ni kujipanga. Ukiingia bila kujipanga usije baadae ukaja kuanzisha uzi wa kuomba ushauri juu ya ndoa yako mke kabadilika. Sisi tunaoa muda wowote ila changamoto ni kupata mke sahihi uwe makini usije ukakimbilia kuoa ukaweka ndani bomu la machozi mwisho wa siku ukaanza kwenda clinic ya moyo Jakaya Kikwete Cardiac Institute pale muhimbili.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom