Wanawake hawanipendi

 
Una uakika hizo hela ulizo nazo unazitoa? au ziko benk zimelala?
 
Hiyo nenda kaulize kwa Babu au Bibi mzaa ( Baba au Mama), tumia trick yoyote unayoweza, kisha utaleta jibu
Ila usiogope kusikia kusikia tatizo lolote alilolifanya ....linakuandama wewe.na mwisho kama ni swala huko nyuma walifanya maagano na mizimu, fanya mpango mapema kujinasua, hutanielewa kwa sasa ila utanielewa baadaye na kujinasua, kuna mawili, uende kanisani uombewe au utambike , , ,
 
Mademu hawataki wanaume washamba, rekebisha hilo tu hata bure wanakupa, acha swaga za kishamba hawazimiki nazo.

Zingatia ushauri huu!

Pia wanawake hawapendi mwanaume mwenye tabia za Kike. Wanaofanana nao kitabia. Kumbuka wenyewe hawapendani Kwa tabia zao.

Miongoni mwa tabia hizo
1. Kutokujiamini
2. Kuringa
3. Kususa Kama jinga
4. Kupenda kubembelezwa Kama toto la kike.
5. Kushindwa kujieleza/kutetea hoja zako.
6. Kufikiri Kwa vile umevaa vizuri au unapesa ndio maana utamvutia.
Mwanamke havutiwi na kazi au pesa zako kimapenzi, isipokuwa anavutiwa na haiba yako kama Mwanaume.
Pesa zitamvuta akiwa na njaa au shida tuu.

Hivyo kazi yako nzuri au Gari lako halina mahusiano yoyote na hao viumbe.

Ili uwe na wanawake uzoefu nao. Wanawake wanapenda Wanaume wenye uzoefu nao.
Ndio maana wanataka wanaume wakubwa kuwazidi lakini sio Hilo wanalomaanisha isipokuwa wanataka wanaume wanaoweza kuwa-control, kuwafanya wawe wanawake.

Kama huna demu ni ngumu kupata Demu.
Wanawake ni Kama pesa, bila kuwa na pesa huwezi kuipata Pesa
 
Mshukuru Mungu sana kwa kuwa anakupigania na kukutenga na uovu,Wewe ni uzao wa Isaka mtoto wa Ibrahimu.Epuka tamaa za kimwili neema hii ya kimungu izidi kukufunika,mwili wako ni hekalu la Mungu
 
Mshukuru Mungu sana kwa kuwa anakupigania na kukutenga na uovu,Wewe ni uzao wa Isaka mtoto wa Ibrahimu.Epuka tamaa za kimwili neema hii ya kimungu izidi kukufunika,mwili wako ni hekalu la Mungu
Mkuu umegeuza hii thread kuwa jukwaa la mihadhara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…