Mm naona hawa wanapendeza zaidi na wanavutia zaidiWapo ila wachache
Yaani raha sana nikiwaona
Pm inayotumika hata jf ina maana gani wakuu mnifumbue machoNitupiamo kapicha pm
Pm maana yake private massagePm inayotumika hata jf ina maana gani wakuu mnifumbue macho
tehkuna rangi nyingine bwana, sasa unakutana na demu black utafikii anafanya kazi mgodi wa makaa ya mawe
huyu wajuu makucha yameharibu
Tupiamo tupicha bibieTupoooooooo