Wanawake hawa ni adimu hivi sasa

Wanawake hawa ni adimu hivi sasa

kUMBE NDO WEWE UNAYEPIKA PALE KARIBIA NA MATAA YA BUZURUGA?
hahahaha tena napika ugali mwekundu wa Musoma tehe tehe tehe, hapa karibu na bajaji, njia ya kwenda Mahina kuna kibao cha shule za Alliances hahahaahhh
 
hahahaha tena napika ugali mwekundu wa Musoma tehe tehe tehe, hapa karibu na bajaji, njia ya kwenda Mahina kuna kibao cha shule za Alliances hahahaahhh
Napita nitunzie ugali na nyama ya kukaanga - natokea Nyasaka centre.
 
dawa yao ni kutongoza O.G halafu photoshop unaachana nazo [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
d9b10b14f5a4794ca4330ed3b3900206.jpg
a7e456edb1bc4e5e4e82da3d7106b7f0.jpg
 
Hahahaa... that moment
Waiter, call foe me that lady with short hair!

Siku izi unasikia niitie yule mwenye nyele nyekundu na njano...
 
Back
Top Bottom