Wanawake hawa ni adimu hivi sasa

marandu2010

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
1,201
Reaction score
446
Wanawake hawa nipitapo barabarani,ama kwenye daladala au sehemu zozote zenye mkusanyiko wa watu.

Siwaoni...wamekuwa adimu sana


Wakuu mtupiamo picha za watu wa dizaini hii walau tufaidi hapa..maana huko uraiani hawapo.
 
kuna rangi nyingine bwana, sasa unakutana na demu black utafikii anafanya kazi mgodi wa makaa ya mawe
 
Reactions: mcy
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…