Wanawake hatuwezi kuwasahau hawa wanaume

Vipi kama atavunjwa bikra na mwengine, kisha akakojozwa na mwengine halafu akazaliswa na mwengine?
 
Ndugu MZURI SANA ili kuthibitisha kweli wewe ni mwanamke,naomba nikutoe Out siku ya Kesho Jumamosi,na tutaelekea maeneo ya Samaki-samaki pale Mlimani City!

Nimeomba kukutoa Out ili kuondoa Mashaka kwa Members humu kwasababu inasemekana wewe ni Dume umeamua kutumia uhusika wa KE ili kuwavuta wanaume!.

Kuondoa Mashaka, hiyo kesho sitokuwa peke yangu,nitamuomba na Lamomy awepo!.

Nia na lengo la mtoko huo wa kesho ni kufahamiana,kubadirishana mawazo na kuenjoy,Pia ni kutuondolea mashaka kama kweli wewe ni KE!.

Nawasilisha!
 
Aliye mtoa Bikra

Aliye mkojoza kwa mara ya kwanza

Aliye kua wakwanza kumpa mtoto( kumpandisha leba kwa mara ya kwanza)

KATAA NDOA KUOA NI ANASA VIJANA TAFUTENI HELA TUNZA KIBUNDA UZEENI MSISUKUME MIKOKOTENI
 
Ndugu MZURI SANA ili kuthibitisha kweli wewe ni mwanamke,naomba nikutoe Out siku ya Kesho Jumamosi,na tutaelekea maeneo ya Samaki-samaki pale Mlimani City!

Nimeomba kukutoa Out ili kuondoa Mashaka kwa Members humu kwasababu inasemekana wewe ni Dume umeamua kutumia uhusika wa KE ili kuwavuta wanaume!.

Kuondoa Masha hiyo kesho sitokuwa peke yangu,nitamuomba na Lamomy awepo!.

Nia na lengo la mtoko huo wa kesho ni kufahamiana,kubadirishana mawazo na kuenjoy,Pia ni kutuondolea mashaka kama kweli wewe ni KE!.

Nawasilisha!

Ewaaaaah!! Nitakuwepo kwenye mtokozz na mrembo mzuri sana jf nzima!!!
Kesho naenda kupanda bmw kwa mara ya kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada mzuri sana jitahidi upendeze unatoka na boss ujue usiniangushe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bado Hajanipa jibu,hebu msisitize ili nione naipanga vipi ratiba yangu!
 
Mambozz wakubwa na wadogo.

Ebu niwape ka umbea fulani ila naomba msinichambe jamani wala msiniulize maswali mengi nasema kwa mtazamo wangu binafsi Mimi MZURI SANA.

mwanamke yoyote mwenye miaka 25 ana weza akampa recognition wanaume wa aina mbili tu.

Mwanaume Aliyemtoa Bikra na Aliyeweza kumkojoza.

Mwanaume Aliyemwaga Manii Yake na kusababisha Apate mtoto.

Jamani mimi mzuri sana Nina Ushuhuda katika Hilo .

na ndo Maana kuna mabazazi yanamwaga hela tu yakidhani ni mapenzi.
Karibu sana JF...
 
Kumbukumbu si tatizo, binadamu hukumbuka.

Unaweza kabisa usimsahau aliyekutoa usichana wako na kukuzalisha ila kutembea nae kwa kigezo cha kumbukumbu ndo umalaya wenyewe, huenda ndo uliosababisha aliyekutoa bikra au kukuzalisha akukimbie.
 
Nadhani ungejiunga na mtandao X (zamani twitter) ungepata vichwa vingi kwa haraka. Hii biashara umekuja kuifanyia sehemu ambayo itakuchelewesha. Hapa JF huwa ni stori tu.. au bibi FaizaFoxy nasema uongo?
 
Asante mmekalili jf ni ya wanaume si ndivyo wewe mkaka
Wewe utakuwa unajiuza hebu Toka hapa, hatununui K humu, tunatongoza mademu tunaowaona kwa macho na kuridhika nao, siyo nyie wa mitandaoni ambao hatujui kama ni majini au maajuza.
 
Back
Top Bottom