Wanawake hatuwezi kuwasahau hawa wanaume

Haya karibu mgeni tumeshakuona. Tunakuja inbobo tuyajenge
 
Attachments

  • Screenshot_20231019-203604.jpg
    Screenshot_20231019-203604.jpg
    67.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20231019-203746.jpg
    Screenshot_20231019-203746.jpg
    63.7 KB · Views: 7
Hao jamaa wa3 wangekua hawasahauliki uku anamtafuta nani kati yao?
🚧Anamtafuta kwenye pesa na huyo ndo hasauliki Wakuu.
 
Mambozz wakubwa na wadogo.

Ebu niwape ka umbea fulani ila naomba msinichambe jamani wala msiniulize maswali mengi nasema kwa mtazamo wangu binafsi Mimi MZURI SANA.

mwanamke yoyote mwenye miaka 25 ana weza akampa recognition wanaume wa aina mbili tu.

Mwanaume Aliyemtoa Bikra na Aliyeweza kumkojoza.

Mwanaume Aliyemwaga Manii Yake na kusababisha Apate mtoto.

Jamani mimi mzuri sana Nina Ushuhuda katika Hilo .

na ndo Maana kuna mabazazi yanamwaga hela tu yakidhani ni mapenzi.
Mzuri? ina maana no chururu wala pupu!
 
Waambie waambie hao wakolochi acha watoe pesa usiwashtue bhana waache kenge hao
 
Back
Top Bottom