Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,849
- 5,473
Unakuta dada mrembo ila kwa kuomba hela kawazidi viwete wa barabarani
Nipe kwanza mbinu nijaribu nikishindwa nitakurudia sasa nione tunafanyaje😅Kuwapata wanaume wenye hela unadhani kazi rahisi sio? Nyie tukubalini tu sie masikini.
Njoo private!Nipe kwanza mbinu nijaribu nikishindwa nitakurudia sasa nione tunafanyaje😅
Ni kukosa kakikombe tu sio😅Unakuta dada mrembo ila kwa kuomba hela kawazidi viwete wa barabarani
Ila babu😆Njoo private!
Anasema hana mpango na watu wanaotumia chatGPT kubonga naye. Hii kauli ni ile yenyewe haifai na nime cry kamtoto yaani!Kwani imekuwaje tena mubaba🙄
Bakuli si kikombeNi kukosa kakikombe tu sio😅
Of course hayo niliyoyasema yana-apply kwenye jamii hizo hizo za kimaskini, tukiondokana na umaskini tutaongea mengine ila kwasasa nina support wapewe hela.Ni assumptions za jami masikini ambayo mwanamke hana kitu, au hata akiwa na kitu ni mtu wa kuhudumiwa na mwanamme tu.
Jamii zilizopita umasikini huu wa hali na mali, zinaondokana na fikra hizi.
Haitakiwi kabisa hajui unaweza kumuweka mjini na yeye pia!Anasema hana mpango na watu wanaotumia chatGPT kubonga naye. Hii kauli ni ile yenyewe haifai na nime cry kamtoto yaani!
Unajitahidi halafu mutu anakuzarau.
Nimefanyaje mjukuu, njoo tuyaweke vizuri sasa🤪Ila babu😆
Una support fikra za kimasikini ziendelee siyo?Of course hayo niliyoyasema yana-apply kwenye jamii hizo hizo kimaskini, tukiondokana na umaskini tutaongea mengine ila kwasasa nina support wapewe hela.
Fact! Sometimes mambo huendanga upside-down na hapo ndiyo Sir Godi huonesha mauwezo yake.Haitakiwi kabisa hajui unaweza kumuweka mjini na yeye pia!
Una shingapi?😁Nimefanyaje mjukuu, njoo tuyaweke vizuri sasa🤪
Kabisaa! Na asiposhuka tumfate hukohuko papi😐Fact! Sometimes mambo huendanga upside-down na hapo ndiyo Sir Godi huonesha mauwezo yake.
Msemo mmoja unasema, mwenye ako juu mngoje chini atashuka.
I love that! Siwezi nikakaa nikikodoa macho juu tu. Nikiona hashuki namfuata 😎Kabisaa! Na asiposhuka tumfate hukohuko papi😐
Nina support wapewe hela. Na hii sifikirii kama ni fikra ya kimaskini kwa sababu ya tamaduni zetu. Tukistaarabika vya kutosha labda tutabadilika.Una support fikra za kimasikini ziendelee siyo?
Uje sasa acha kujichelewesha!!Una shingapi?😁
Andaa kibunda niko njiani😎Uje sasa acha kujichelewesha!!
Ni fikra ya kimasikini kwa sababu inaendeleza mfumodume na fikra kwamba mwanamke ni mtu wa kuhudumiwa tu.Nina support wapewe hela. Na hii sifikirii kama ni fikra ya kimaskini kwa sababu ya tamaduni zetu. Tukistaarabika vya kutosha labda tutabadilika.