Wanawake hatupendi wanaume ambao hawana hela!

Wanawake hatupendi wanaume ambao hawana hela!

Binafsi kuna mahitaji ya msingi Binti anatakiwa amalizane nayo sio kumtegemea mwanaume!
Huo ni msemo tu, haimaanishi asipotongozwa mwanamke havai chupi mzee
Mahitaji ya chakula, kulala vocha inabidi ujipambanie kwanza angalau inavutia
Kabisa!
Ikiwa mwanaume sasa karidhia nita clear bill ya chakula ama kodi fresh maake hujamuomba mapenzi yake kwako kaamua kufanya hayo

Ila issue za halo beby nisaidie Kodi 🤔🤔 sjui sijala siku ya pili 🥺aaaah kukatana stimu mamnyong'ode
Mimi kodi ntakuomba tu, labda vingine ndionsiwezi hata kukuomba sijui kusuka sijui chqkula ila kodi sjui mtaji nakuomba vizuri, na hata ukininyima silali nje bado..
Mwanamke akiweza kujitimizia hayo hapo juu hata akiingia kwenye relationship anaingia akiwa anajua si toi tuu sex na sinto abudu mtu juu ya kitu fulani bali ni upendo tuu ama daraja limepita wacha nivuke nalo

Nimekaa sehemu nina fundo mdomoni la lite ooh bint mmoja mambo, mzima, unaendeleaje mm namcheki tuu hata sijameza dada keshaongea maneno na huku anaachia tabasamu kwa mbali ikabidi niangalie friji 😅😅
Hahhah hutaki mazoea🤣

Usitake kunambia saa 4 hii ushaanza kubugia vitu🙆🏽‍♀️
 
Huo ni msemo tu, haimaanishi asipotongozwa mwanamke havai chupi mzee

Kabisa!

Mimi kodi ntakuomba tu, labda vingine ndionsiwezi hata kukuomba sijui kusuka sijui chqkula ila kodi sjui mtaji nakuomba vizuri, na hata ukininyima silali nje bado..

Hahhah hutaki mazoea🤣

Usitake kunambia saa 4 hii ushaanza kubugia vitu🙆🏽‍♀️
Kodi sawa ila sio frequently, hata mtaji ama connection something which sounds perfect

sasa mtu mpaka aankuomba hela ya kula ujue kazi hana ama ni ana pata kipato kidg mno!!

Tuzingatie mahitaji ya msingi wasee
 
Kodi sawa ila sio frequently, hata mtaji ama connection something which sounds perfect
Hakuna kodi frequent labda kama unakomolewa na huyo mpenziyo
sasa mtu mpaka aankuomba hela ya kula ujue kazi hana ama ni ana pata kipato kidg mno!!

Tuzingatie mahitaji ya msingi wasee
Hmm mtafutie hata kibarua cha kutembeza juice aacha ushenzi!
 
Hakuna kodi frequent labda kama unakomolewa na huyo mpenziyo

Hmm mtafutie hata kibarua cha kutembeza juice aacha ushenzi!
Hahahaha kwamba nikulipie Kodi mwaka mzima tuseme umeomba twice per year mean ??

Hahahaha nawaambia wadada watafute kazi

Nashukuru ninaowashauri wanaitika na mmoja tyr tunaozesha October wa pili mwakani

Soon nataka nije na vipindi vya wanawake mtandaoni nivune mamillion yenu 😅😅
 
Back
Top Bottom