Wanawake fake!!....

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,706
Inafahamika kuwa linapokuja suala la uimara na ubovu wa ndoa,kufu au kudumu kwa ndoa wanawake mara nyingi ndo wanakua na nguvu sana,sisi wanaume hapa hatuna ubavu.Hivyo basi mwanamke akiwa fake/mjinga nk, na ndoa au mahusiano huwa hivyohivyo.Siku hizi wanawake wengi ni hovyo ndo maana na mahusiano/ndoa nazo ni za hovyo,siku hizi wanawake hawataki majukum ya kike,wanajua ndoa ni kuzaa na kuwatupia watoto ma HG.Hawajui namna ya kumhudumia mume,huduma wanayoijua wao ni ngono tu,hawawezi hata kumshauri mume namna ya kubajeti matumizi ili angalau wapate ka jumba hata ka vyumba viwili,wao wanajua kubana hela ili wakanunue mawigi,skin jeans,vimin nk,kama ni mfanyakazi mshahara unaishia hukohuko na machinga watajazana nyumbani kwako kukudai hela ya rangi za kucha,khanga na upuuzi mwingi tu!Hawa ndo wanawake watakaotusaidia kusonga mbele kimaendeleo kweli?Ama kweli kwa mtindo huu ndoa nyingi zitakua za hovyo ka sababu ya uhovyo wa wanawake wa leo.WANAUME kazi tunayo!
 
Tumekusikia,tunaomba na nyie muache kutumia mihela na muda mwingi bar,kwenye nyumba ndogo zenu,muwe na vipaumbele kwenye maisha na kwa wale wenye ndoa,wajitahidi kuipa familia muda zaidi. Ndoa inajengwa na inaweza bomolewa na pande zote mbili. Ni hayo tu.
 
Haya usemayo ni kweli,lakini faham kuwa comvincing power ya mwanamke ni kubwa sana kama atataka mabadiliko katika mahusiano/ndoa yake!
 
Hivi kwenye ndoa nako kuna ngono?Nauliza tu!!

Nwy wakulaumiwa ni hao wanaume kwa kukimbilia kuona na watu ambao hawakidhi yale wanayohitaji yoka kwa mke. Tangu uchumba we mtu hajakushauri ununue pazia jipya badala ya kwenda club mara nne kwa wiki unategemea nini? Mtu hajawahi hata kukushauri/ambia unaweza zaidi ya unayofanya unategemea nini kwake?

What you see is what you get. Ukiwa na mchumba/mpenzi anaejali leo tu jua hata kwenye ndoa atakua hivyo hivyo. Hawezi badilika na kuanza kufikiria kesho kisa tu umemuoa maana hiyo ni tabia ya mtu, tabia inayokua imemjenga na sio sawa na kujifunza kusonga ugali au kupiga nyumba deki.

Kuweka dada wa kazi hilo ni la wengi. . . mi hua nashangaa watu wengine wanaishi wawili tu hawana hata mtoto bado na bado eti wanaajiri dada wa kazi anaefanya kila kitu. Wakati wenyewe wanaweza wakafanya shughuli ndogo ndogo za kila siku kwa ushirikiano alafu labda weekend ndio wawe na.mtuwa kuja kusaidia usafi mkubwa au kufua. Ila sasa hii ili iwezekane mwanaume nae inabidi ashirike. . . na hapo ndio kaka zetu wengi msipoweza. Mkiombwa kusaidia mnasema "bora nikutafutie dada wa kazi" alafu mwenxio nae akiwa kama wewe akafikiaria na mimi "ngoja nimwachie kila kitu dada wa kazi " mnalalamika.

Kuweni mabadiliko mnayotaka kuyaona badala ya kudemand tu.
 
Pasipo na ngono ndoa haipo !
Kisichokuwepo ndoani ni zina.
 
Umefafanua kidogo vizuri Lizzy,lakini faham kuwa kama mwanamke anajijua na anajua nguvu yake kwenye mahusiano au ndoa,anaweza kufanya mabadiliko makubwa sana,nguvu na fujo za wanaume kwa mwanamke anaejua yeye ni nani nikama mkate mbele ya chai.Wapo wanawake ambao wamegundua hili na wamelitumia kwa njia chanya na wameyabadili maisha ya familia zao,na wapo wengine wametumia kwa njia hasi,wamejinufaisha,ukikuta familia ina mama wa hovyo na kuna maendeleo jua huyo mke akijirekebisha familia hiyo itakua na maendeleo maradufu!
 
Tatizo sio mtu kujua kama ana nguvu au la ni mtu kuwa na malengo au kutokua nayo. . . kua na fikra za kujiendeleza na kuendeleza familia au la. Hata asie na hayo bado anatumia unamke wake kuchezea vijisenti vya mume na kumnyamazisha asilalamike/kumfanya asiache kutoa hizo pesa na kadhalika. Kwahiyo wote wanatumia hiyo nguvu. . .kinachotofautiana ni matumizi.

Ndio maana bado ntasema kosa linaanzia kwa wanaume wanaingia ndoani na wanawake ambao hawana malengo wala fikra za kujijenga kwa faida ya baadae ilhali sio aina ya mwanamke wanaetaka kuishi nae milele milele. ACheni kudanganywa na hayo mawigi mnauolipia na muanze kuangalia mambo ya msingi. Ndio maana wengine tunachagua mpaka tunaonekana tumezidi. . yote hiyo ni ili kupata mtu wa aina ile tunayohitaji na sio anaevutia machoni tu. Hamtokula sura wala maumbo kwahiyo huo usiwe msingi wa yale mnayotumia kuchagua mke.
 
Duh!Tatizo Lizzy wanawake wengi ni fake,wanafake mpaka tabia,kwenye uchumba anajidai anajua sana malengo,kumbe hovyo!Halafu kumbuka kuwa mwanaume anapochoka mara nyingi anatakiwa atulizwe na apewe maneno ya kumrejeshea nguvu,haijalishi mwanamke yuko vipi,tatizo linakuja pale atakapopewa nyoka wakati yeye aliomba samaki!
 
Sasa isijalishe mwanamke yuko vipi kivipi tena? Ofcourse inajalisha. Huwezi tegemea mfokaji na mropokaji kila siku awe mliwazaji. . .
Jua kabisa kwamba kuna wanawake 'wanyanyuaji', huyu hata mume akipoteza kazi hakimbii wala hamdharau ila kwanza anampa uhakika wa kupata nyingine kisha anamsaidia kutafuta.Alafu kuna 'mkanyagaji' huyu yeye asipokukimbia kabisa ataishia kukusimanga humo ndani mpaka upaone pachungu japo ulichangia kujenga.

Huo Ufake hua unaweza kuonekana kirahisi sana ikiwa watu watakua makini. Tatizo hua linakuwepo pale mtu anapofikiria "ahhh sasa hivi ni kwasababu hana majukumu tu, tukiona atakua mke/rafiki na mshauri mzuri". . . Yeahhhh SUBIRIA MILELE.
 
Tumekusikia,tunaomba na nyie muache kutumia mihela na muda mwingi bar,kwenye nyumba ndogo zenu,muwe na vipaumbele kwenye maisha na kwa wale wenye ndoa,wajitahidi kuipa familia muda zaidi. Ndoa inajengwa na inaweza bomolewa na pande zote mbili. Ni hayo tu.
yote hayo mnasababisha nyie nyie wanawake fake,ndio maana tunaenda kutafuta tulizo huko!!!
 
Eiyer pole kwa kuvunjwa moyo!! naona unatumalizia hasira zako wanawake wote!

Penzi/pendo hujengwa, rutubishwa na kupaliliwa na pande zote.
 
Lizzy nakuunga mkono kwa uliyosema ila Niliposema haijalishi mwanamke yukoje nilimaanisha kuwa,mwanaume hitaji lake kwa mke liko palepale haijalishi mkewe ni wa hovyo ama la.Yeye anahitaji tulizo ama ushauri,akiukosa maumbile yatamsukuma akatafute somewhere else,tatizo linakua kubwa zaidi.Pia lets say mwanaume ameoa huku akiwa na tabia za hovyo,mwanamke nae akiwa wa hovyo hapo lazima litalipuka bomu la nyuklia tu,lakini nakuambia hata kama mume atakua wa hovyo vipi mke akitaka abadilike ni muda mfupi tu anachange!Kuhusu hilo la wanaume kuwaona wanawake ni wa hovyo kabla ya ndoa lakini still wanawaoa nafikiri wakati mwingine kamati za ufundi zinatumika!
 
Inafahamika kuwa linapokuja suala la uimara na ubovu wa ndoa,kufu au kudumu kwa ndoa wanawake mara nyingi ndo wanakua na nguvu sana,sisi wanaume hapa hatuna ubavu.Hivyo basi mwanamke akiwa fake/mjinga nk, na ndoa au mahusiano huwa hivyohivyo.Siku hizi wanawake wengi ni hovyo ndo maana na mahusiano/ndoa nazo ni za hovyo,siku hizi wanawake hawataki majukum ya kike,wanajua ndoa ni kuzaa na kuwatupia watoto ma HG.Hawajui namna ya kumhudumia mume,huduma wanayoijua wao ni ngono tu,hawawezi hata kumshauri mume namna ya kubajeti matumizi ili angalau wapate ka jumba hata ka vyumba viwili,wao wanajua kubana hela ili wakanunue mawigi,skin jeans,vimin nk,kama ni mfanyakazi mshahara unaishia hukohuko na machinga watajazana nyumbani kwako kukudai hela ya rangi za kucha,khanga na upuuzi mwingi tu!Hawa ndo wanawake watakaotusaidia kusonga mbele kimaendeleo kweli?Ama kweli kwa mtindo huu ndoa nyingi zitakua za hovyo ka sababu ya uhovyo wa wanawake wa leo.WANAUME kazi tunayo!
Hii ni freudian Defense mechanism ya "Rationalization"
 
Belinda,usijali sijavunjwa moyo ila ninajaribu kuzungumzia uozo ulivyo now days!
 
Back
Top Bottom