BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,163
mwanaume unapoona malezi ya mtoto anaachiwa hg wewe unaingilia kulea wanao?
Wewe ushinde baa kula nyama choma na beer mkeo umwache apange bajeti ya ugali maharage?
Mume unapotegemea kuhudumiwa na mkeo, mkeo anamuhudumia nani? Au unamwachia serengeti boy amhudumie?
Nyumba haijengwi na mtu mmoja kaka, hujengwa na mke na mume, utegemee kufanya mambo yako yaajabu kisa mke ndo muhimili itakula kwako.
Mahusiano ni wote 2 mjitoe kuyalinda na kuyajenga.
Kila mmoja amhudumie mwenzie nawashirikiane bega kwa ega kwenye shughuli mbalimbali za nyumba.
Wawili mshauriane khs bajeti na kadhalika.
mnaosubiri wake zenu wajenge nyumba huku nyie mkitapanya au mkikunja miguu nyumba haitojengeka