Wanawake Elewekeni, Mnataka haki Sawa au Mnataka kuhudumiwa?

CONTRARIAN

JF-Expert Member
Jun 21, 2023
922
2,795
Akijimudu, Anageuka MBABE, wakati huo huo chako anakihitaji.

Akiona upenyo wa Mwanga mzuri, anageuka FEMINIST, anadai haki sawa.

Kukiwa na shida lets Say ya kifamilia, ANAJITOA Anadai Baba ndio kichwa cha familia..

Akiwa na Shida private ambayo anona kabisa yeye mwenyewe ndio anapaswa aitatue, ANAJINYENYEKEZA umsaidie.

Kukiwa na msala mgumu, Anajigeuza MNYONGE Mwanaume kaumbiwa kupambana yeye katoka ubavuni.

Hizi rangi zote zinafanya wasieleweke, hujui una deal na kiumbe wa namna gani...

Maana kuna mda hataki kuonekana mnyonge,
Huyo huyo kuna mda anataka aonekane Super woman,
Huyo huyo kuna mda anataka ajioneshe Haambiwi chocolate na mwanaume....
Sasa na wewe ukiwa zuzu, kila upande uta twist, KE wanamna hio hawezi kukuvalue.

WANAUME MALOFA WANAOENDESHWA NA KE NDIO WANAFANYA MAISHA YA WENGINE YANAKUA MAGUMU KWA KUWAENDEKEZA.

Ushauri kwa Wanawake, ukipata hilo lofa lisilojiewa, linyooshe haswa, halafu lipige chini.
Shwain kabisa.

Big up kwa Wanawake Wanao amini katika kusimama wenyewe.
 
Hawa organisms Sijui wanaweweseka nini, SIO WOTE ila wanawake wengi, wamejawa na tamaa na kupenda mtelemko sana.

Akijimudu, Anageuka MBABE, wakati huo huo chako anakihitaji.

Akiona upenyo wa Mwanga mzuri, anageuka FEMINIST, anadai haki sawa.

Kukiwa na shida lets Say ya kifamilia, ANAJITOA Anadai Baba ndio kichwa cha familia..

Akiwa na Shida private ambayo anona kabisa yeye mwenyewe ndio anapaswa aitatue, ANAJINYENYEKEZA umsaidie.

Kukiwa na msala mgumu, Anajigeuza MNYONGE Mwanaume kaumbiwa kupambana.

Hizi rangi zote zinafanya wasieleweke, hujui una deal na kiumbe wa namna gani...

Maana kuna mda hataki kuonekana mnyonge,
Huyo huyo kuna mda anataka aonekane Super woman,
Huyo huyo kuna mda anataka ajioneshe Haambiwi chocolate na mwanaume....
Sasa na wewe ukiwa zuzu, kila upande uta twist, KE wanamna hio hawezi kukuvalue.

WANAUME MALOFA WANAOENDESHWA NA KE NDIO WANAFANYA MAISHA YA WENGINE YANAKUA MAGUMU KWA KUWAENDEKEZA.

Ushauri kwa Wanawake, ukipata hilo lofa lisilojiewa, linyooshe haswa, halafu lipige chini.
Shwain kabisa.
🤣🤣🤣🤣 hii imeenda,
Mimi nakazia aya ya Mwishooo.
 
Ukifatilia vizuri kwa undani zaidi waweza gundua hilo tatizo sio la wanawake in such Ila ni bianadamu wote wapo hivyo Ila wale wanaofanikiwa kujitambua huwa wanaishinda hiyo hali.

Haki 50 kwa 50 is illusion iwe mwnaume au mwanamke wote hupenda kupata favor nzuri.

Ndo maana kwa watu ambao wamefanikiwa kuwapata wanawake civilized huwa hawajuti kabisa same apply kwa wanaume.

Nachokiona mkuu 50/50
Feminism
Na blah blah zote huwa zinaongelewa na wale wanaojitfutia kipato yaani MTU anakuwa Anafanya hizo kazi za kuwatetea wanawake Kama Ajira.

Sasa hawa wake zetu waswahili wwanafata tu mkumbo they know nothing about life .
 
Back
Top Bottom