Wanawake chat za namna hii zinaweza waletea matatizo

Wanawake chat za namna hii zinaweza waletea matatizo

Ila wanawake mimi mnachonifurahishaga ni jinsi gani mnaweza kuitana baby, honey, sweetie, kipenzi nk wakati huo huo mnachukiana kinyamaa!! Yaani huyo honey, sweetie sijui mpenzi utakuta behind the scenes unamchukia kupita maelezo akiwa hayupo unamtukana na kumsengenya kila aina ya maneno machafu, ila akipiga simu utasikia "hallow darling.." Nyie viumbe ni wa tofauti sana..😀
Ila wanaume nanyi nawashangaa kuyajua ya wanawake ilihali siyo wanawake.
How do you think like a woman?
 
Ila wanaume nanyi nawashangaa kuyajua ya wanawake ilihali siyo wanawake.
How do you think like a woman?
huenda ana marafiki wengi wa kike walomfanya ajue mengi about ke
 
Manamke na manamke banaweza kuwa ntu na mpenzi bake batu banaitaga kusagana kuwa makini nleta mada
 
Wanawake mnamambo ya ajabu kweli, yaani unachat na ke mwenzako alafu unamuita mpenzi, baby, my, honey na nk... nimekuta kwenye sim ya wife chat ya namna hii alafu naangalia jina ni la rafikie wa kike akati chat ni kama ya mtu na mpenziwe.

Nilimuuliza huyu nani, akajibu Aisha, nikamwambia rafikio ndo mnachat kama wapenzi? Akanambia kama unashaka mpigie, nikapga nikaongea naye ndo ananambia washazoea kuchat hivyo angalau nikapata amani but nimemwambia huu upuuzi uishie leo maana mapigo ya mbio yalikua yashaanza kwenda moyo.

Aise wanawake tabia zingine hizi hazifai kwa ustawi wa ndoa na mahusiano yenu.
Mara vup kapokea mume wa Aisha; kwa wivu wako mkuu ghafla inanijia picha ya Uchebe sijui kwanini.
 
Mara vup kapokea mume wa Aisha; kwa wivu wako mkuu ghafla inanijia picha ya Uchebe sijui kwanini.
kua na wivu kwa mke ni sehem ya upendo bt kumpga nikujisumbua bure coz haiwez badili tabia mbaya kama anayo, chakufanya ukishathibitisha ana tabia mbaya bora umemtaliki tu.
 
Aisha, kuna mchezaji wa simba anaitwa Aish manula kama sijakosea

Twendeni tukapige kura
 
Back
Top Bottom