Wanawake chat za namna hii zinaweza waletea matatizo

Karibu na pia usiwaamini wanawake sana unaweza kukuta hata hicho ulichokigundua umepigwa changa la macho. Wanawake wako very smart. Ila potezea ndoa ngumu
Sure mkuu wanajua Sana kufanya matukio ktk njia isiyo ya kawaida,..... Simu ya mwanamke Ni ya kukaa nayo umbali wa mita moja kutoka ilipo km unataka Amani ya moyo
 
Mwanamke anaweza kufanya tukio akishirikiana na mama yake mzazi na wakakuaminisha kuwa kila kitu kiko sawa. Usishike simu ya mkeo, usiamini kila ruhusa unayoombwa
 
Ushapigwa aisee. Ndio wanagia yao hiyo, simu za wanawake wengine zinatumika pia, wanawake walioolewa wakiamua kucheat ni zaidi ya majasusi.
Wanawake mnamambo ya ajabu kweli, yaani unachat na ke mwenzako alafu unamuita mpenzi, baby, my, honey na nk... nimekuta kwenye sim ya wife chat ya namna hii alafu naangalia jina ni la rafikie wa kike akati chat ni kama ya mtu na mpenziwe.

Nilimuuliza huyu nani, akajibu Aisha, nikamwambia rafikio ndo mnachat kama wapenzi? Akanambia kama unashaka mpigie, nikapga nikaongea naye ndo ananambia washazoea kuchat hivyo angalau nikapata amani but nimemwambia huu upuuzi uishie leo maana mapigo ya mbio yalikua yashaanza kwenda moyo.

Aise wanawake tabia zingine hizi hazifai kwa ustawi wa ndoa na mahusiano yenu.
 
Mecheka mpaka mepaliwa[emoji23][emoji23]
Ila msalmie honey Aisha mkuu
 
Wanawake mnamambo ya ajabu kweli, yaani unachat na ke mwenzako alafu unamuita mpenzi, baby, my, honey na nk... nimekuta kwenye sim ya wife chat ya namna hii alafu naangalia jina ni la rafikie wa kike akati chat ni kama ya mtu na mpenziwe.

Nilimuuliza huyu nani, akajibu Aisha, nikamwambia rafikio ndo mnachat kama wapenzi? Akanambia kama unashaka mpigie, nikapga nikaongea naye ndo ananambia washazoea kuchat hivyo angalau nikapata amani but nimemwambia huu upuuzi uishie leo maana mapigo ya mbio yalikua yashaanza kwenda moyo.

Aise wanawake tabia zingine hizi hazifai kwa ustawi wa ndoa na mahusiano yenu.
Wanasagana
 
Back
Top Bottom