Wanawake chat za namna hii zinaweza waletea matatizo

Hiyo ni simu ya dada yake mchepuko wa mke wako. Hii mbinu hata mimi huwa natumia.natumia simu ya dada yangu mshkaji sana kuchat na mchepuko wangu.sister anamfahamu so mume wa huyo demu akipiga anakutaha na sauti ya sister anaomba msamaha yanaisha.mimi naendelea na mawasiliano naye bila shida.

Wanawake mnamambo ya ajabu kweli, yaani unachat na ke mwenzako alafu unamuita mpenzi, baby, my, honey na nk... nimekuta kwenye sim ya wife chat ya namna hii alafu naangalia jina ni la rafikie wa kike akati chat ni kama ya mtu na mpenziwe.

Nilimuuliza huyu nani, akajibu Aisha, nikamwambia rafikio ndo mnachat kama wapenzi? Akanambia kama unashaka mpigie, nikapga nikaongea naye ndo ananambia washazoea kuchat hivyo angalau nikapata amani but nimemwambia huu upuuzi uishie leo maana mapigo ya mbio yalikua yashaanza kwenda moyo.

Aise wanawake tabia zingine hizi hazifai kwa ustawi wa ndoa na mahusiano yenu.
 
Acha kushika simu ya shemeji, leo ulitaka kuzimia ipo siku utakufa kbs!!
 
We ndo mgeni kwenye ndoa, Nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 12 with 3 kids. Satisfy ur partner, then learn to trust, utaishi kwa amani sana kwenye ndoa yako.
kwa hiyo mkuu ukishika sim maana yake humuamini?
 
Back
Top Bottom