Wanawake chat za namna hii zinaweza waletea matatizo

wanawake mnamambo ya ajabu kweli, yaani unachat na ke mwenzako alafu unamuita mpenzi, baby, my, honey na nk... nimekuta kwenye sim ya wife chat ya namna hii alafu naangalia jina ni la rafikie wa kike akati chat ni kama ya mtu na mpenziwe...

nilimuuliza huyu nani, akajibu aisha, nikamwambia rafikio ndo mnachat kama wapenzi? akanambia kama unashaka mpigie, nikapga nikaongea nae ndo ananambia washazoea kuchat hivo angalau nikapata amani bt nimemwambia huu upuuzi uishie leo maana mapigo ya mbio yalikua yashaanza kwenda moyo.

aise wanawake tabia zingine hizi hazifai kwa ustawi wa ndoa na mahusiano yenu.
Achana na simu ya mwanamke ndugu yangu. Ikane kama ulivyoliacha ziwa la mama yako utaishi kwa amani milele na milele
 
mi mwenyewe sina mazoea nayo bt ilipgwa sim kwake akanipa kuongea ndo nikakutana na huo ujinga
 
Mkuu kwani mume mwenzio ni lazima awe mwanaume?
Hata huyo aisha uliyezungumza nae pengine ni mume mwenzio..
 
Wanawake mnamambo ya ajabu kweli, yaani unachat na ke mwenzako alafu unamuita mpenzi, baby, my, honey na nk... nimekuta kwenye sim ya wife chat ya namna hii alafu naangalia jina ni la rafikie wa kike akati chat ni kama ya mtu na mpenziwe.

Nilimuuliza huyu nani, akajibu Aisha, nikamwambia rafikio ndo mnachat kama wapenzi? Akanambia kama unashaka mpigie, nikapga nikaongea naye ndo ananambia washazoea kuchat hivyo angalau nikapata amani but nimemwambia huu upuuzi uishie leo maana mapigo ya mbio yalikua yashaanza kwenda moyo.

Aise wanawake tabia zingine hizi hazifai kwa ustawi wa ndoa na mahusiano yenu.
Demu wangu alikuwa amezoea kuchat hivyo na marafiki zake, NILIKUJA KUGUNDUA ANASAGANA.
 
Wanawake mnamambo ya ajabu kweli, yaani unachat na ke mwenzako alafu unamuita mpenzi, baby, my, honey na nk... nimekuta kwenye sim ya wife chat ya namna hii alafu naangalia jina ni la rafikie wa kike akati chat ni kama ya mtu na mpenziwe.

Nilimuuliza huyu nani, akajibu Aisha, nikamwambia rafikio ndo mnachat kama wapenzi? Akanambia kama unashaka mpigie, nikapga nikaongea naye ndo ananambia washazoea kuchat hivyo angalau nikapata amani but nimemwambia huu upuuzi uishie leo maana mapigo ya mbio yalikua yashaanza kwenda moyo.

Aise wanawake tabia zingine hizi hazifai kwa ustawi wa ndoa na mahusiano yenu.
Siku hzi wana kaujinga ka namna hiyo sanaaaa! Unakuta wanabusiana lips za vinywa,yani hizi TV na tamthilia zake zimetuletea maadili mabovu sana hapa Afrika
 
Kuna wimbo wa Marika unasema hivi: "Wanawake ni wajanja hakika nimekubali, Waona bwana likija limevaa suruali, ....". Wahenga wamenipata. Utakuwa na mwenzio sehemu. Siyo bure.
 
Siku hzi wana kaujinga ka namna hiyo sanaaaa! Unakuta wanabusiana lips za vinywa,yani hizi TV na tamthilia zake zimetuletea maadili mabovu sana hapa Afrika
right mkuu, wamekua wajinga sana bt kwa wanaume huu upumbavu huwezi ukuta
 
Wanawake mnamambo ya ajabu kweli, yaani unachat na ke mwenzako alafu unamuita mpenzi, baby, my, honey na nk... nimekuta kwenye sim ya wife chat ya namna hii alafu naangalia jina ni la rafikie wa kike akati chat ni kama ya mtu na mpenziwe.

Nilimuuliza huyu nani, akajibu Aisha, nikamwambia rafikio ndo mnachat kama wapenzi? Akanambia kama unashaka mpigie, nikapga nikaongea naye ndo ananambia washazoea kuchat hivyo angalau nikapata amani but nimemwambia huu upuuzi uishie leo maana mapigo ya mbio yalikua yashaanza kwenda moyo.

Aise wanawake tabia zingine hizi hazifai kwa ustawi wa ndoa na mahusiano yenu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wivu nao mbaya sana ila hawa wanawake ndivyo walivyozoea hayo waneno
 
Back
Top Bottom