Wanawake chat za namna hii zinaweza waletea matatizo

Ukiona manyoya Mkuu ujue kishaliwa! Simu ya HG hiyo ambaye anatumika kama mtu wa kati kwenye mawasiliano yao. 😜

wanawake mnamambo ya ajabu kweli, yaani unachat na ke mwenzako alafu unamuita mpenzi, baby, my, honey na nk... nimekuta kwenye sim ya wife chat ya namna hii alafu naangalia jina ni la rafikie wa kike akati chat ni kama ya mtu na mpenziwe...

nilimuuliza huyu nani, akajibu aisha, nikamwambia rafikio ndo mnachat kama wapenzi? akanambia kama unashaka mpigie, nikapga nikaongea nae ndo ananambia washazoea kuchat hivo angalau nikapata amani bt nimemwambia huu upuuzi uishie leo maana mapigo ya mbio yalikua yashaanza kwenda moyo.

aise wanawake tabia zingine hizi hazifai kwa ustawi wa ndoa na mahusiano yenu.
 
Wanawake ni homosexual by nature.

Mwanamke anaweza kumuita mwanamke mwenzie baby, mpenzi, akamkumbatia na kumshika makalio, akamshika nyonyo, akambusu na kila aina ya matendo ya kimapenzi na hakuna tatizo lolote.

Mboga zinawezwa kuchanganywa na kupikwa pamoja, nyama na mchicha, nyama na mlemda ama bamia na kadhalika na hakuna shida yoyote.

Unatakiwa uwafahamu wanawake walivyo.
mkuu kwa hiyo we unaona ni sahih waendelee tu
 
mazoea nafikiri mi nna mashost zangu nloshibana nao nimewasave lovie, hunniepie kipenzi n.k 😂😂😂ni mazoea tu

Ila wanawake mimi mnachonifurahishaga ni jinsi gani mnaweza kuitana baby, honey, sweetie, kipenzi nk wakati huo huo mnachukiana kinyamaa!! Yaani huyo honey, sweetie sijui mpenzi utakuta behind the scenes unamchukia kupita maelezo akiwa hayupo unamtukana na kumsengenya kila aina ya maneno machafu, ila akipiga simu utasikia "hallow darling.." Nyie viumbe ni wa tofauti sana..😀
 
Hivi mtu unaweza kumchukia na ukamfanya rafiki yako?
 
Ila wanawake mimi mnachonifurahishaga ni jinsi gani mnaweza kuitana baby, honey, sweetie, kipenzi nk wakati huo huo mnachukiana kinyamaa!! Yaani huyo honey, sweetie sijui mpenzi utakuta behind the scenes unamchukia kupita maelezo akiwa hayupo unamtukana na kumsengenya kila aina ya maneno machafu, ila akipiga simu utasikia "hallow darling.." Nyie viumbe ni wa tofauti sana..😀
😂😂😂daah amna mi mpaka nmewasave hivyo sina chuki nao ata nukta yaani
 
wanawake mnamambo ya ajabu kweli, yaani unachat na ke mwenzako alafu unamuita mpenzi, baby, my, honey na nk... nimekuta kwenye sim ya wife chat ya namna hii alafu naangalia jina ni la rafikie wa kike akati chat ni kama ya mtu na mpenziwe...

nilimuuliza huyu nani, akajibu aisha, nikamwambia rafikio ndo mnachat kama wapenzi? akanambia kama unashaka mpigie, nikapga nikaongea nae ndo ananambia washazoea kuchat hivo angalau nikapata amani bt nimemwambia huu upuuzi uishie leo maana mapigo ya mbio yalikua yashaanza kwenda moyo.

aise wanawake tabia zingine hizi hazifai kwa ustawi wa ndoa na mahusiano yenu.
Dunia inaenda kasi sana
Usijipe moyo kuwa ni rafiki ake ukasahau kuwa dunia ya sasa ata mwanamke anaweza kukuibia mkeo. Chunguza ata lesbian wapo wanye wamme pia

Ni mfano tu lakin
 
ahsante kwa mfano
 
😂😂😂daah amna mi mpaka nmewasave hivyo sina chuki nao ata nukta yaani
Ah, wanawake nyie kwa unafki aisee ni shidaa.. utasikia hey baby.. my love.. twinnie akee.. 😀 kumbe hamna lolote
 
Ah, wanawake nyie kwa unafki aisee ni shidaa.. utasikia hey baby.. my love.. twinnie akee..
hawa viumbe kwa unafiki hawajambo na ndo wanapafanya mtaani pachungu ajil ya unafiki wao
 
Back
Top Bottom