Wanawake bana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake bana

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Magoo, Nov 19, 2011.

 1. M

  Magoo JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 438
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nilikuwa na g.f enzi za O-level kwa miaka zaidi ya 2 tulipendana sana hadi nilipoitimu na kwenda mkoa wa mbali kwa ajili ya A-Level. Mawasiliano taratibu yakafa baada ya muda nilipata taarifa kuwa alienda South Africa baada ya miaka tele nikaja kumtafuta facebook kweli nikampata mawasiliano yakaanza huku akisisitiza mapenzi yake kwangu na tukaitaji kuwa wapenzi tena wakati huo tayari alikuwa Dar ameajiriwa na kipato chake ni kizuri yote aliweka wazi kwangu huku akisema ameachana na b.f wake kama miezi 2 nyuma.

  Basi tukapanga kuonana siku hiyo nikaamua kwenda kwa daladala kwenye miadi huku nikiwa nimetoka simple sana bila yeye alikuwa na usafiri wake tukaongea saana kikubwa alinibana akitaka kujua nafanya kazi gani na wapi kwa mzaha nikamwambia sina kazi ya maana chuo hivyo nimejiajiri na kipato si kikubwa kinatosha kwa matumizi tu ya kila siku ( Nilitaka kuona kama mapenzi anayosema yapo ama laa, isitoshe tayari nina g.f).

  Baada ya mazungumzo akanisindikiza nikapanda daladala yy akaondoka zake tangu siku hiyo simu akawa hapigi tena wala sms ahahahah nilivyomuuliza imekuwaje tena eti ooo b.f wamesameheana nikachukulia sawa tu maisha yakaendelelea, kioja sasa kama wiki2 zimepita sasa nikiwa ofisini kwangu akawa amefika huyo huyo msichana kampuni yao ikiwa inaitaji mkopo kutokana na kiasi cha fedha ikabidi kwanza mahojiano yafanyike hakuamini alivyoingia ofisini akakuta mm ndo niko pale.

  Siku hiyo hiyo akaanza sms na cm kwa sana nikakamkaribisha kwangu akaja akapafahamu at last nikamuuliza kuhusu jamaa yake akaanza mara oooo unajua yule ana matatizo mengi amenichosha sasa duhhhh nikashindwa kujua haswa mwanamke anaitaji nn kwa mwanume pesa ama mapenzi kwanza.???...... Nikampasulia live tayari nina mchumba eti anasema yaani umesahau tulikotoka WANAWAKE BANA

  Hii inamhusu Kaka yangu, naamini ni wengi wako hivi msimamo wao unaongozwa na kipato cha m2 na si mapenzi wadau mna mtizamo gani ktk hili
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Tuna mtazamo gani kuhusu huyo ex wa kakako? Ama kuhusu nini?
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  wamama wa mjini wanasema. 'k' haiuzwi wala kutolewa bure' sasa go figure...lol
   
 4. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #4
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  wajua vijana msikatae ukweli. na ukweli ni kwamba hakuna binadamu anataka shida. unfortunately/fortunately depending on wether u have money or not money offers life's comfort and in essence it offers security. sasa ni swa kwa mwanamke/mwanaume kujua jinsi ulivyo economicaly becoz it is an important part of life na ukizingatia pesa or the lack thereof is the cause of many in marriages/relations it will be prudent to put due consideration on the matter wen choosing a partner.
  cha msingi ni kwamba heshimu pesa na mambao ambayo inaweza kukufanyia...ila usipende pesa maana unaweza ua!!!
  money ndio itamfanya mke wako apate cream za kujiremba so aonekane anadai bado...ndizo zitakazo kukusaidia wewe kumpa burudani apendazo...so henshimu umihimu na mchango wa pesa katika relationshi na maisha kiujumla
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Nov 19, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,411
  Trophy Points: 280
  Romance without finance is a nuisance and tenuous.
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  you can say that again.....
   
 7. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #7
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Pesa ni msingi wa maendeleo :]
   
 8. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #8
  Nov 19, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Asante kwa kuuliza badala yangu.
   
 9. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #9
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  we mbandue tu huyo dada na ulifanya makosa kumpeleka kwako,siku nyingine mwambie mkutane guest kwasababu my wife wako amerudi,ila kama wewe ni zoba basi endelea naye huku ukijua ya kuwa ni mtu wa aina gani.Nalog off
   
 10. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #10
  Nov 19, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Ishu ya finance wanawake wanaiweka mbele sana kwenye mahusiano na hili limewafanya wanaume wengi ambao waliwahi kunyanyasika wakati hawako fresh, wakikamata hela wanaishia kuwa abuse wanawake na kuwatelekeza. Wanawake wengi wazuri wanaishia kuchezewa na kuachwa tu. Inasikitisha sana.
   
 11. olele

  olele JF-Expert Member

  #11
  Nov 19, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 814
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 80
  king'asti umekasiriiika.
   
 12. olele

  olele JF-Expert Member

  #12
  Nov 19, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 814
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 80
  VAT eclusive?
   
 13. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #13
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Bila ya shaka :]
   
 14. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #14
  Nov 19, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  Money is soap of heart..
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Nov 19, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Ulitaka mapenzi ya tamthilia ya kupendana na kula matunda mwitu. Na watoto muwafundishie nyumbani?

  At this juncture? Try again later
   
 16. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #16
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  kula mzigo tu dunia ya sasa hivi huna haja ya kujiulza maswali hayo coz ni maisha ya tamthilia tu ndo yametake over si wanaume wala wanawake..
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Nov 19, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Currently
  NO M0NEY NO LUV
   
 18. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #18
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Wanawake wengi pesa kwanza upendo b'dae. Bora huyo mmemstukia. Mwambie bro wako asijenge mazoea hapo. Asije akamuharibia kwa mpenzi wake
   
 19. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #19
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kama ni mimi nakupiga kibutu kigumu, maana hata kama mtu unaangalia fedha basi na kautu kawepo. Wewe kuambiwa tu nafanya kazi inayonipa kula ya kila siku ukaona huwezi kukaa hapo, after all wanawake wenye pesa wanataka wanaume wasio na pesa ili wawa control kirahisi na kufaidi penzi vizuri.
  Wanaume nao wakiwa na pesa ni shida, kila kitu utapata mpaka mke mwenzako kwa ajili ya hiyo hiyo pesa!!!!
   
 20. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #20
  Nov 19, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tatizo wanawake unakuta waliowafanya hvyo ni wanaume,unakaa na mwanaume hana pesa wala nini unamtoa toa hapa na pale halafu vipesa vikikubali anaanza dharau na kujua wanawake sasa kwa nini next time nitafute maskini ni heri nitafute tajiri niponde mali tukiachana cna cha kuniuma kuliko mwanaume asiye na shukrani,
   
Loading...