adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,943
- 5,378
'Samahani sana (Anataja jina langu). Nina mpenzi bhana na nilikuwa nae siku ile. Am Sorry (anataja tena jina langu)'
Huyu demu tulionana Arusha kama mwaka na kitu hivi. Tukawa marafiki. Kadri siku zilivyozidi ukaribu ulizidi. Kwa kuwa mimi niko dar tukawa tunaonana mara chache sana. Baada ya muda fulani nilihisi ni mtu wa mambo mengi ingawa ilikuwa ngumu kubaini. Hisia zangu tu zilihisi hivyo na ingawa sikuwa na ushahidi wa moja kwa moja. Kidogo kidogo nikaanza kumpotezea baada ya muda nikampotezea kabisa. Nilibadili namba zangu. So kunipata ikawa ngumu kidogo. Ikapita kama miezi sita hivi. Nikakutana na rafiki yake hapa mjini ananiambia nanihi ananitafuta sana na mbona kimya sana? Ananiomba namba yangu nikampatia. Tukaacha. Mara yule demu akanipigia na kuanza kuuliza maswali mengi if I was serious au nlkw nataka nimchezee 2. Seriously I was honest wit her nikamwambia ukweli kuwa sikuwa namwelewa fresh cz at tyms nilikuwa simsomi. So ikabidi nimpotezee. Akaniambia ni kweli cz alikuwa na mtu anamsumbua n stuff. Na hakutaka kuniambia cz alikuwa ananipenda sana so ikabidi amalizane nae kwanza then tufungue page yeye na mimi. I ws like ok poa. Nmekuelewa. If u done wit him. Tunaweza kuride. Poa poa tukarudiana tena. Kwa kuwa mimi niko dar n yeye arusha mawasiliano yakawa ya simu 2 most of the tym. Akawa yuko serious haipiti masaa keshapiga simu texts nn. Hadi smtyms nikiwa busy na shughuli zangu nikawa kama nambore cz anataka kuongea na mimi afu mimi niko busy. Ingawa nilikuwa namuambia. Basi juzi juzi nilikuwa na ka week kamoja ka mapumziko akasema amenimiss anakuja dar. Kweli akaja dar akafikia k'nyama kwa sister ake (according to her). Zikapita kama siku 3 hatujaonana akawa anadai she's busy wit sm stuffs cz anafanya biashara kuna mizigo anafuatilia bandarini n stuffs. I was like poa. Wen u done niambie. The next day ilikuwa b'day yangu. Akanipigia simu tukaongea sana. Tukapanga tuonane. Ilivyofika hiyo time nampigia simu anakata. Nikanitumia text 'sorry I can't make it' I was ok wit it cz naelewa at tyms it happens ukipanga jambo linajipanga vingine. So nikaendelea na mambo yangu mengine. Siku zake za kukaa dar zilivyoisha akaniambia anarudi arusha. Note hatukuwa tumeonana. Alivyorudi arusha akawa kama kawaida yake full kupiga simu tena. Juzi juzi from no where akanitumia hiyo text. Sana najiuliza kwani nilazima awe na wanaume zaidi ya m1? Kwanini wanawake wamekuwa waongo hivi? Nways kwakuwa ni mambo ya kawaida (smthn we men normally do) nmechukulia poa. Naendelea na maisha kama jana yalivyokuwa,
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums