Wanawake Bana! 1st Check Hii Text Niliyotumiwa Last Week..

Wanawake Bana! 1st Check Hii Text Niliyotumiwa Last Week..

Angalia tu asikufanye ATM, wana lugha zao siku hizi "Hny nimeibiwa wallet naomba unitumie walau ka laki kamoja. Love you mmwaaah!..."
 
ukimkamata ni makofi halafu jela,hawezi kupoteza muda wa mtu kipuuzi

Mkuu mambo ya zamani sana hayo. Siku hizi demu akizingua anakupunguzia mzigo. Walimbwende kibao. Na moreover huwezi kujua anakuepushia na nn?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hahahaha thats y i keep telling people sex is a power battle...women have the power when a man is chasing her but the only way a man can recover his power oover a woman ni kuhakikisha anamgegeda na kusepa. na nyie mlivyokuwa mdebwedo mkishavuliwa chupi hahahaha
wewe cku izi wanawake hawagegedwi kiivo
 
Pole sana ,She was just gauging u if you are lover or company/wussybag material......i think she is using you for the later...hapo chapa lapa,kuna sehemu umechemsha kwenye hizo simu nyingi.....u must at all tyms have ur game 2gether!

mmmh mwenzenu nimemaliza shule siku nyingi, enzi zetu kulikuwa hakuna kidhungu cha aina hii, kumbe kidhungu nacho kimepanuka kimeongeza vocabulari!!!!

Back to mada... kama una mashaka kuhusiana na uaminifu wa huyo binti, mueleze ukweli ujitoe mapemaaa ili kila mmoja aendelee na maisha yake kwa amani. si lazima uwe nae!
 
Kuna wangu alikuwa busy hivo hivo,nikimtafuta mara kwa mara anajifanya busy,nikianza kufanya mambo yangu na kumpuuzia anAanza tena kujileta,ikabidi nimwambie tu-quite mahusiano.
Mbona now ananisaka kila mda
 
haki ya nani "Usiache mbachao kwa msala upitao" Hujui ya kesho hahhahahhaaaa!
 
Mkuu kwa kifupi wewe ni Backup..In case jamaa zake wengine wakizingua..! na atarudi tuu.
 
Ngoma ndroo, nyie wenyewe mnatupanga kama magunia, unakuta lijianaume limeoa na watoto kabisa lakini bado linakuwa liongo linakudanganya eti linataka likuoe. Liulize basi ili ujiridhishe kama kweli halijaoa, sikia mistri hiyo ndugu " Am maximum Single Baby" si bora huyo kwakwambia ukweli.
 
'Samahani sana (Anataja jina langu). Nina mpenzi bhana na nilikuwa nae siku ile. Am Sorry (anataja tena jina langu)'

Huyu demu tulionana Arusha kama mwaka na kitu hivi. Tukawa marafiki. Kadri siku zilivyozidi ukaribu ulizidi. Kwa kuwa mimi niko dar tukawa tunaonana mara chache sana. Baada ya muda fulani nilihisi ni mtu wa mambo mengi ingawa ilikuwa ngumu kubaini. Hisia zangu tu zilihisi hivyo na ingawa sikuwa na ushahidi wa moja kwa moja. Kidogo kidogo nikaanza kumpotezea baada ya muda nikampotezea kabisa. Nilibadili namba zangu. So kunipata ikawa ngumu kidogo. Ikapita kama miezi sita hivi. Nikakutana na rafiki yake hapa mjini ananiambia nanihi ananitafuta sana na mbona kimya sana? Ananiomba namba yangu nikampatia. Tukaacha. Mara yule demu akanipigia na kuanza kuuliza maswali mengi if I was serious au nlkw nataka nimchezee 2. Seriously I was honest wit her nikamwambia ukweli kuwa sikuwa namwelewa fresh cz at tyms nilikuwa simsomi. So ikabidi nimpotezee. Akaniambia ni kweli cz alikuwa na mtu anamsumbua n stuff. Na hakutaka kuniambia cz alikuwa ananipenda sana so ikabidi amalizane nae kwanza then tufungue page yeye na mimi. I ws like ok poa. Nmekuelewa. If u done wit him. Tunaweza kuride. Poa poa tukarudiana tena. Kwa kuwa mimi niko dar n yeye arusha mawasiliano yakawa ya simu 2 most of the tym. Akawa yuko serious haipiti masaa keshapiga simu texts nn. Hadi smtyms nikiwa busy na shughuli zangu nikawa kama nambore cz anataka kuongea na mimi afu mimi niko busy. Ingawa nilikuwa namuambia. Basi juzi juzi nilikuwa na ka week kamoja ka mapumziko akasema amenimiss anakuja dar. Kweli akaja dar akafikia k'nyama kwa sister ake (according to her). Zikapita kama siku 3 hatujaonana akawa anadai she's busy wit sm stuffs cz anafanya biashara kuna mizigo anafuatilia bandarini n stuffs. I was like poa. Wen u done niambie. The next day ilikuwa b'day yangu. Akanipigia simu tukaongea sana. Tukapanga tuonane. Ilivyofika hiyo time nampigia simu anakata. Nikanitumia text 'sorry I can't make it' I was ok wit it cz naelewa at tyms it happens ukipanga jambo linajipanga vingine. So nikaendelea na mambo yangu mengine. Siku zake za kukaa dar zilivyoisha akaniambia anarudi arusha. Note hatukuwa tumeonana. Alivyorudi arusha akawa kama kawaida yake full kupiga simu tena. Juzi juzi from no where akanitumia hiyo text. Sana najiuliza kwani nilazima awe na wanaume zaidi ya m1? Kwanini wanawake wamekuwa waongo hivi? Nways kwakuwa ni mambo ya kawaida (smthn we men normally do) nmechukulia poa. Naendelea na maisha kama jana yalivyokuwa,

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Pole sana mkuu hapo bhana we tafuta tu mpenzi mwingine,
Huyo hajawahi kuwa wako wala wa huyo mwingine,
Mi huwa siamini sana long distance love bora yale mengine,
Kwa kufuatilia story yako ni kama hamjawahi kuwa wapenzi pengine,
Huenda huwa anatafuta rafiki au kampani tu pengine,
Pole sana mkuu ndio maisha hayo ila utapata mwingine
 
Nachukia mchezo wa kuhukumu wote simply because umeudhiwa na mtu mmoja. Nilitegemea kuona wanawake na si mwanamke. Hivyo mwanangu umefulia kuhukumu wanawake wote wakati unayehangaishwa naye ni mmoja. Jaribu kujitahidi ufikiri lau kidogo. Au siyo?

Nami nltaka gusia hapohapo.... Don't generalize wakat ni xperience 1 tuu u went thru...
 
well a man's overriding question when dealing with a woman is; will i hit that K with the least expense as possible?
sasa kama bupa hujapata achana nae bwana. wanawake wa siku hizi ndugu yangu wanamegwa na wanaume zaidi ya mmoja so just know tupo wengi wewe hakikisha unapata kumega kwa bei che...wacha chizi mwengine audumie

Sorry to say this, only to find out your the chiz unehudumia kwa yule ambaye utajua umejikomit nae na wamwamin. Patam hapoooo
 
Kimbia Acha utoto asikufanye sparetyre,huyo dada atakuua siku Si zako mwenyewe ushastuka kuwa circle Ni kubwa so what are u waiting for,Dah wanaume wengine sijui Ni kwanini mnabanaika sana na hizi mambo ,
 
painful truth. Ndo maana tumewastukia tunawafny mazombie, hehehehe. Raha sana, a taste of your own concoction

Na hawa ndo dawa yao. Mtu unakua mwema mwisho roho inageuka halafu unaonekana wa ajabu
 
Na hawa ndo dawa yao. Mtu unakua mwema mwisho roho inageuka halafu unaonekana wa ajabu

Enh! Ndo unachoweza kusema

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wakuu, yote yanawezekana. Inawezekana hata dar hakutia mguu au alikuja ila njema akamtight. Binafsi nmesahau cz kama kupiga nshapiga mara 2,3 so lilikuwa kama koloni langu. Nmejaribu kuleta hii story kushare nanyi ili tujifunze jambo moja au jingine kuhusu hali ilivyo sasa. Kiukweli tupo wengi sana. Circle kubwa kinoma yaani.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sku izi wanawake-mbinu wamekua wengi na hawaoni ishu kuvua chupi tena kwa kudai wenyewe, cha msingi ni kutomwamini mwanamke yoyote, kukanyaga ni lazima ila zana ndio mpango mzima/
 
Back
Top Bottom